Je wajua kuwa?

Je wajua kuwa?

flintsky

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
654
Reaction score
746
Je wajua?!
Hata uwe na umri mrefu vipi huwezi kufikia gorofa!

Hata simba jike awe mkali vipi atapandwa tu!

Hata uwe mkubwa vipi huwezi kulamba kiwiko cha mkono wako!

Hata uweze kubana pumzi vipi huwezi kujiua kwa njia hiyo!

Jazia na zako unazojua hapo
 
Je Wajua?
1/Japuku Forum ndo thread yenye reply nyingi zaidi hapa Jf

2/Kapuku Forum ndo thread inayoongoza kwa views wengi JF ndani ya kipindi kifupi
Swadaktaa kabisaa
 
Je Wajua?
1/Japuku Forum ndo thread yenye reply nyingi zaidi hapa Jf

2/Kapuku Forum ndo thread inayoongoza kwa views wengi JF (ndani ya kipindi kifupi tangu thread ianzishwe)
Kwaio
 
Je Wajua?
1/Japuku Forum ndo thread yenye reply nyingi zaidi hapa Jf

2/Kapuku Forum ndo thread inayoongoza kwa views wengi JF (ndani ya kipindi kifupi tangu thread ianzishwe)
Dah...Yale Yale...[emoji4]
 
Back
Top Bottom