mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 22,345
- 56,148
Mkoa wa Tanga unechanganya tamaduni za kizunguna kiarabu ambazo zimeathiri architec ya majengi yake
Waarabu walikaa sana mwambao wa Tanga kuanzia Pangani mpaka Tanga mjini,huko kote waliacha majengo ya ghorofa,
Ukija wilaya za handeni,korogwe na Lushoto,mjerumani alipapenda sana na kuacha maghorofa
Si ajabu ukienda vijijini kukuta wazee wamejenga maghorofa ya udongo
Tanzania ina jumla ya majengo ya ghorofa 68,724 kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi mwaka 2022.
Katavi ndio mkoa wenye ghorofa chache zaidi Tanzania, ukiwa na ghorofa 70. Mikoa mingine inayofuatia kwa kuwa na idadi ndogo ya ghorofa ni;
2. Simiyu: 138
3. Rukwa: 173
4. Songwe: 174
5. Kaskazini Pemba: 222
Kwa upande wa mikoa inayoongoza, Dar es Salaam unashika nafasi ya kwanza ukiwa na ghorofa 32,219. Mikoa inayofuatia ni;
1. Dar es Salaam-32,219
2. Arusha-7,180
3. Tanga-4,282
4. Kilimanjaro-3,540
5. Mwanza-2,481
6. Pwani-1,885
7. Dodoma-1,461
8. Morogoro-1,331
9. Mbeya-1,073
10. Kagera-702.
Hapo juu ni takwimu rasmi za serikali lakini maoni yangu ni,
Tanga mjini au Moshi mjini haiwezi zidi wingi wa maghorofa Mwanza, Mwanza mjini ina maghorofa mengi zaidi lakini ukijumlisha mkoa mzima mpaka vijijini kweli Mwanza inazidiwa.
Ndugu zangu wabishi wa Dodoma ambao nyie ni kama sisi Mwanza wazee wa maghorofa mjini tu vijijini hakuna kitu mkae kwa kutulia, mnashika nafasi ya 7 pamoja na maghorofa yenu yote yale ya serikali pala UDOM na ya wizara sijui bila hayo hali yenu ingekuwaje?