Ndo nataka kujua ni kuitwa gorofa lazma pawe n ngazKwa kingereza tunaita floor su storey
Jibu ni rahisi tu hizi takwimu za majengo ya maghorofa ni za kimkoa sio za kimji. ..Mkoa wa Tanga una jumla ya halmashauri 11 wakati mkoa wa Rukwa una halmashauri 4 tu .Idadi ya maghorofa ingekuwa kwa kila mji mambo yangekua tofautiMkoa wa Tanga unechanganya tamaduni za kizunguna kiarabu ambazo zimeathiri architec ya majengi yake
Waarabu walikaa sana mwambao wa Tanga kuanzia Pangani mpaka Tanga mjini,huko kote waliacha majengo ya ghorofa,
Ukija wilaya za handeni,korogwe na Lushoto,mjerumani alipapenda sana na kuacha maghorofa
Si ajabu ukienda vijijini kukuta wazee wamejenga maghorofa ya udongo
Tanzania ina jumla ya majengo ya ghorofa 68,724 kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi mwaka 2022.
Katavi ndio mkoa wenye ghorofa chache zaidi Tanzania, ukiwa na ghorofa 70. Mikoa mingine inayofuatia kwa kuwa na idadi ndogo ya ghorofa ni;
2. Simiyu: 138
3. Rukwa: 173
4. Songwe: 174
5. Kaskazini Pemba: 222
Kwa upande wa mikoa inayoongoza, Dar es Salaam unashika nafasi ya kwanza ukiwa na ghorofa 32,219. Mikoa inayofuatia ni;
1. Dar es Salaam-32,219
2. Arusha-7,180
3. Tanga-4,282
4. Kilimanjaro-3,540
5. Mwanza-2,481
6. Pwani-1,885
7. Dodoma-1,461
8. Morogoro-1,331
9. Mbeya-1,073
10. Kagera-702.
Hapo juu ni takwimu rasmi za serikali lakini maoni yangu ni,
Tanga mjini au Moshi mjini haiwezi zidi wingi wa maghorofa Mwanza, Mwanza mjini ina maghorofa mengi zaidi lakini ukijumlisha mkoa mzima mpaka vijijini kweli Mwanza inazidiwa.
Ndugu zangu wabishi wa Dodoma ambao nyie ni kama sisi Mwanza wazee wa maghorofa mjini tu vijijini hakuna kitu mkae kwa kutulia, mnashika nafasi ya 7 pamoja na maghorofa yenu yote yale ya serikali pala UDOM na ya wizara sijui bila hayo hali yenu ingekuwaje?
Dar ina halmaahauri 6 tuJibu ni rahisi tu hizi takwimu za majengo ya maghorofa ni za kimkoa sio za kimji. ..Mkoa wa Tanga una jumla ya halmashauri 11 wakati mkoa wa Rukwa una halmashauri 4 tu .Idadi ya maghorofa ingekuwa kwa kila mji mambo yangekua tofauti
Kwenye wimbo wa Tanga Kunani Wagosi wa Kaya walisema ukiondoa ghorofa la Bandari, hakuna kinachobakia.Mkoa wa Tanga unechanganya tamaduni za kizunguna kiarabu ambazo zimeathiri architec ya majengi yake
Waarabu walikaa sana mwambao wa Tanga kuanzia Pangani mpaka Tanga mjini,huko kote waliacha majengo ya ghorofa,
Ukija wilaya za handeni,korogwe na Lushoto,mjerumani alipapenda sana na kuacha maghorofa
Si ajabu ukienda vijijini kukuta wazee wamejenga maghorofa ya udongo
Tanzania ina jumla ya majengo ya ghorofa 68,724 kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi mwaka 2022.
Katavi ndio mkoa wenye ghorofa chache zaidi Tanzania, ukiwa na ghorofa 70. Mikoa mingine inayofuatia kwa kuwa na idadi ndogo ya ghorofa ni;
2. Simiyu: 138
3. Rukwa: 173
4. Songwe: 174
5. Kaskazini Pemba: 222
Kwa upande wa mikoa inayoongoza, Dar es Salaam unashika nafasi ya kwanza ukiwa na ghorofa 32,219. Mikoa inayofuatia ni;
1. Dar es Salaam-32,219
2. Arusha-7,180
3. Tanga-4,282
4. Kilimanjaro-3,540
5. Mwanza-2,481
6. Pwani-1,885
7. Dodoma-1,461
8. Morogoro-1,331
9. Mbeya-1,073
10. Kagera-702.
Hapo juu ni takwimu rasmi za serikali lakini maoni yangu ni,
Tanga mjini au Moshi mjini haiwezi zidi wingi wa maghorofa Mwanza, Mwanza mjini ina maghorofa mengi zaidi lakini ukijumlisha mkoa mzima mpaka vijijini kweli Mwanza inazidiwa.
Ndugu zangu wabishi wa Dodoma ambao nyie ni kama sisi Mwanza wazee wa maghorofa mjini tu vijijini hakuna kitu mkae kwa kutulia, mnashika nafasi ya 7 pamoja na maghorofa yenu yote yale ya serikali pala UDOM na ya wizara sijui bila hayo hali yenu ingekuwaje?
Ndiomana nimekwambia hizi takwimu zingekua kwa kila mji/manispaa/jiji zingetoa picha/uhalisia mzuri kuliko hivi zilivyo kimkoa...Kwamfano mkoa wa Shinyanga una halmashauri 6(tena mbili ni manispaa) lakini umezidiwa na mkoa wa Mbeya wenye hamashauri 5 tu.Dar ina halmaahauri 6 tu
So jibu lako sio sahihi
Rukwa haibebeki
Nyie mlime tu mahindi