Je wajua kwamba - Serikali ya Muungano haisaidii ruzuku kwa SMS kujiendesha?

Tulishawahi kukwambia hapa Zanzibar ni Nchi. Upo?
 
Mawazo yako sifuri sifuri tu.
Maneno ya Dr. Mwinyihaji hujayaelewa inaonyesha hata bajeti ya Afisi ya Waziri Mkuu Muungano imekupita, hebu rejea uelewe vizuri.Nasisitiza hakuna msaada wa kibajeti kutoka SMT kwenda SMZ, wala formula ya kugawana mapato ya Muungano(mbali ile ya misaada ya wafadhili)
Kama vitu vyote hivo ni sawa Hiyo tume ya pamoja ya fedha iliundwa kwa kazi gani?
Halafu mjifunze kwa adabu kutofautisha kati ya "nchi" na "dola". Najuwa kiswahili si lugha yako ya kwanza,kama Mwalumu wako Nyerere,ulijifunza shuleni, hilo si kosa lako, lakini jifunze.
 
May I explain what is happening in respect of budgetary support from foreign donors?

Most foreign donors recognize the United Republic of Tanzania as the sovereign state and negotiate with it loans and grants as the case may be. When the grant is for Budgetary Support, it has been accepted as normal practice that 4.5% of the money is passed on to the Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar as its share of such support.

Whether Baraza la Wawakilishi consider this money as funds from the donors or that they are from the United Republic of Tanzania Government, as the grantee, is a moot point. The truth is that we are a beggarly people and leaders should concentrate on efforts to unite to tackle our poverty rather than engage in divisive bickerings.

Listening to the vocal and almost angry Members of the Baraza, one gets the impression that they consider that the Government of the United Republic of Tanzania only serves the people living on Mainland Tanzania. They forget that the Foreign Service, the Police, Prisons and Immigration and the Defence Forces in which Zanzibaris fully participate and benefit, are financed by the United Republic Government budget. They seem to need reminding that the Vice President is Zanzibari, and so are many other senior public officials.

A rough, inconsiderate union government could have argued that budgetary support from abroad for it meets part of the expenses which it incurs for services pertaining to Zanzibar's part of the union: the Foreign Service, the Police, Immigration, Prisons, JWTZ, the Presidency etc.
 
Geoff said:
ni kwamba serikali ya muungano haitoi suzuku ya SMZ KUJIENDESHA!narudia,RUZUKU KWA AJILI YA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KUJIENDESHA!

Geoff,

..umeme waliokuwa wakipata bure, au wanaoupata sasa hivi at a discounted rate, ni some form of ruzuku.

..kuna kipindi SMZ ilikuwa haiwezi kulipa watumishi wake mishahara. serikali ya Tanganyika ikawasaidia. hiyo nayo ni ruzuku.

..hili suala limeandikiwa mpaka vitabu na watu kama Prof.Maliyamkono na wasomi wenzake. angalia makala hapa chini.

 
Duh Wazanzibari hichi ni chambo cha ngisi na ndoano ipo mdomoni, kuitoa ni kasheshe!
 
Kwani hawatoi huo mchango? Au unataka uletewe fedha mkononi?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…