Juzi nilikuwa hospitali namfanyia tohara dogo, katika kupiga stori, nesi akasema kuwa alimfanyia tohara msukuma mmoja mtu mzima.Kumbe kichaa wa kwanza alitoka Lake Zone ndio maana Kanda Ile Iko hivyo?
Halafu utakuta unatokea kikabila flani hivi cha kiwaki, kidogo, hakitoshi hata wilaya ya Kishapu na kwa idadi hamfiki hata laki 2 pumbavu.Juzi nilikuwa hospital namfanyia tohara dogo,katika kupiga stori ,nesi akasema kuwa alimfanyia tohara msukuma mmoja mtu mzima.
Siku ya pili ngosha akarudi pale hospital akiwa na jeraha kwenye dushe limefungwa na leso,akaulizwa imekuaje akajibu eti mke wake alimchokoza Ile usiku Naye akafanya Naye sex eti ili asionekane boys.
Fikiria unetahiliwa Leo na usiku wake akasex huku ana kidonda.
Mimi ndo maana naamini watu wa mitaa hiyo wanatumia Sana nguvu kuliko akili.
Wakiwa kwenye cages? Au nje?Ukiingia Mirembe ukiwasikiliza wagonjwa wanachat,utasikia wanaongea normal kabisa,lakini kila baada ya dakika tano utasikia mmoja anasema,"Alo,alo,sipendi utani kabisa,nitamnyuka mtu sasa hivi. Oho,endelea tu na utani!". Halafu wanaendelea kuchat normally,halafu Tena bàada ya dakika tano utasikia tena mtu anatoa tahadhari.
Sasa utatufanisha na malofa wa kusini?Kumbe kichaa wa kwanza alitoka Lake Zone ndio maana Kanda Ile Iko hivyo?
Hawadhuru watu wanaoenda kuwaona?Ukiingia Mirembe ukiwasikiliza wagonjwa wanachat,utasikia wanaongea normal kabisa,lakini kila baada ya dakika tano utasikia mmoja anasema,"Alo,alo,sipendi utani kabisa,nitamnyuka mtu sasa hivi. Oho,endelea tu na utani!". Halafu wanaendelea kuchat normally,halafu Tena bàada ya dakika tano utasikia tena mtu anatoa tahadhari.
Vichaa wa Kanda ya Ziwa hamjawahi kuwa na akili 😂😂Sasa utatufanisha na malofa wa kusini?
Weusiiiii, vipipaa (vifupi) vijumba vya tofali za kuchoma sura zilizotuna aaaah mmk
Muda huu niko Njombe na jana nimekesha Glory lounge hizi nguruwe za huku nyeusiii ndio sio machizi?Vichaa wa Kanda ya Ziwa hamjawahi kuwa na akili 😂😂
Njaa ilishaharibu akili, umaskini uliwaondoa utu,Kansa inawaletea utaahira ndio maana mumejaza mawodo ya Mirembe 🤣🤣Muda huu niko Njombe na jana nimekesha Glory lounge hizi nguruwe za huku nyeusiii ndio sio machizi?
Manesi wa kike muwe mnawanyoa basi hao wanawake {mav..z}....maana mnawavalisha hayo Madera bila chupi halafu wanajifunua bila noma yani.Hospitali kubwa ya wagonjwa wenye changamoyo ya akili iliyopo mjini Dodoma inaitwa Mirembe. Mkurugenzi wake amesema iliitwa Mirembe kutokana na mgonjwa wake wa kwanza aliyeitwa Mirembe, alienda Dodoma mwaka 1927 akitokea kanda ya ziwa kumfata mganga maarufu wa wakati huo aliyekuwa karibu na hospitali hiyo, na baadae alipelekwa hospitalini hapo.
Kwasasa 70% ya wagonjwa wa hospitali hiyo wanatokea Dodoma ikiaminika ni kutokana kuwa na ukaribu na hospitali hiyo huku mikoa mingine ikitoa 30% ya wagonjwa.
Mabadiliko ya jina yanakuja kutokana na fikra iliyojengeka kwenye jina lililopo sasa japo mkurugenzi amesema ipo changamoto kwenye fikra za ugonjwa wenyewe zaidi.
Sababu zinazojitokeza mara kwa mara na kupelekea matatizo ya akili zinajumuisha kuanguka biashara, kupoteza ajira, migogoro ya kifamilia na matumizi ya vilevi kupita kiasi (vilevi vinaweza kusababishwa na sababu zilizotanguliwa)
Yaani hawa ni assylum inmates ambao wameshapata counselling kuhusu yale matatizo immediate yaliyowaleta,sasa wako katika hali ya observation kuamua kama waachiwe huruWakiwa kwenye cages? Au nje?
Elewa huyo mirembe alikuwa anaenda kutafuta mganga wa kienyeji sasa wahuni wa miaka hiyo wakamdirect hapo mirembe kumpoteza, kuwa na akili hata mara moja moja.Kumbe kichaa wa kwanza alitoka Lake Zone ndio maana Kanda Ile Iko hivyo?