Je, Wajua Kwenye Usafi wa Mwili, Waislamu ni Wasafi Zaidi ya Wakristo?. Waislamu Hujiswafi kwa Maji, Wakristo Kwa Karatasi!, Huku Sio Kujipaka?

Mleta mada ni moja kati ya watu wapuuzi, hapo anatafuta teuzi tu, kipindi cha Jiwe alikosa teuzi na kupata kura moja.
Mkuu Allency ,wewe mimi unanijua in reality au unanijulia tuu humu jf?。Nitafute uteuzi wa nini ili nikafanye nini?!。

Hakuna ubaya tukikumbushana
  1. Pasco Mayalla ni mwandishi wa habari,mtangazaji na mwanasheria wakili wa kujitegemea anayefanya kazi zake kwa kujitolea
  2. Ameisha fikisha umri wa kustaafu, kwa sasa ni mstaafu mwenye wake wawili,miji miwili, watoto 9 na wajukuu 7!, hatafuti uteuzi wowote kwa yeyote na kwa sasa niko likizo nchini Marekani ambako naishi kwenye nyumba yangu mwenyewe ya kununua sio ya kupanga!, nitafute uteuzi ili niwe nani nifanye nini wapi?。
p
 
Ni hatar
 
Pascal mnamchukia Bure, lakini ukweli ameusema.

Mimi nilisoma shule Moja iliyotolewa msaada na kujengwa na Scandinavian countries enzi hizo za Awamu ya kwanza.

Ile shule vyoo vyake vilikua vya kuchutama lakini chooni hakukua na mabomba ili kama unataka kujisafisha maji ufanye hivyo. Enzi hizo hata toilet paper hazikuwepo, watu tulikua tunajifuta kwa makaratasi tu basi. Ukitaka kujisafisha kwa maji lazima uende bafuni ambako kulikua na shawa.

Kwa kua chooni hakuna mabomba ya maji na ule mfumo wa kuflashi ulikua umeshakufa, ukienda kile ni kurundika juu ya mzigo wa mwenzako mpaka kesho asubuhi pakifanyika usafi.
Na zile sell za bafu hazikuwa na pazia Wala mlango wa kufunga wale jamaa wasiozoea maji wakikuona wanakushangaa wanakuona wewe ndio mshamba.
 
Sijawahi ambiwa nitumie karatasi kujitawazq bali haya tumeyaona kwenye mfumo wa maisha
 
Kwan vyoo vilivyojengwa na Kikwete vilikuwa na mabombq chooni ? Je tuwahukum waislam kisa kikwete kutoweka bomba chooni , Pili hao Wazungu hutoa hela ila wenyej wao ( watanzania )hupiga hela na kutoweka baadhi ya huduma kwenye majengo
 
Pascal mnamchukia Bure, lakini ukweli ameusema.
Mimi nilisoma shule Moja iliyotolewa msaada na kujengwa na Scandinavian countries enzi hizo za Awamu ya kwanza.
Ile shule vyoo vyake vilikua vya kuchutama lakini chooni hakukua na mabomba ili kama unataka kujisafisha maji ufanye hivyo. Enzi hizo hata toilet paper hazikuwepo, watu tulikua tunajifuta kwa makaratasi tu basi. Ukitaka kujisafisha kwa maji lazima uende bafuni ambako kulikua na shawa.
Kwa kua chooni hakuna mabomba ya maji na ule mfumo wa kuflashi ulikua umeshakufa, ukienda kile ni kurundika juu ya mzigo wa mwenzako maka kesho asubuhi pakifanyika usafi
Ssbani si issue ukijua kujatumia maji vizuri Wala hutoki na harufu yoyote.
Ukitaka usibaki na smell kwenye mkono wako au huko kunakotoka uchafu fanya yafuatayo.
1.Nawa mikono Yako
2.Nawa kablakabla uchafu haujatoka
3. Safisha sehemu iliyotoka uchafu.
4. Safisha mikono Yako
Nyongeza:
Kama unataka uchafu usigandie kwenye choo Cha kuchuchumaa mwagia maji kabla ya kuanza haja.
.
 
Mimi nime
Kwan vyoo vilivyojengwa na Kikwete vilikuwa na mabombq chooni ? Je tuwahukum waislam kisa kikwete kutoweka bomba chooni , Pili hao Wazungu hutoa hela ila wenyej wao ( watanzania )hupiga hela na kutoweka baadhi ya huduma kwenye majengo
toa niliyoyashuhudia enzi hizo. Ya Kikwete siyafahamu.
 
Ungetuliza akili unge muelewa vizuri sana, ila kwakuwa una mhemko ndio hivyo tenaaaa
 
Sasa mtu amejaa husuda moyoni, chuki , wivu, hasira, choyo, uchawi, ushirikina n.k huyo hata atawaze namna gani unazani machoni pa Mungu atahesabika kuwa ni msafi ??

Hali moyo wa mtu ndio kipaombele cha kwanza Mwenyezi Mungu huangalia ndipo mengine hufuata.
 
Mimi sijaelewa wale ambao wanakamua mwili na kutoa mavi yote tumboni Eti ili awe safi sijui ?!
Naomba kueleweshwa hapa niweze kujifunza.
Nini mantiki ya kufanya hivyo ??
Cha ajabu kisha anaenda kuwekwa chini kabisa bila hata kusakafiwa wala kijengea tiles.
Tena bila hata sanduku.

Naomba kuelimishwa ni jifunze mantiki.
 
Yaani mtu anapewa maelekezo kwenye vitabu vitakatifu "hakikisha unakuwa msafi wakati wote kwani unaweza kutwaliwa muda wowote" Huyu mjinga anaenda kuoga badala ya kutubu dhambi awe msafi. pambaf.
 
Achana nao hao vichwa maji Pasco,ndio maana ikanenwa "waangamia kwa kukosa maarifa"
 
Kiimani ni sahihi kwamba Waislam kwenye vitabu vyao, usafi wa mwili ni sehemu mojawapo ya kigezo Cha kuwafikisha peponi kwa mujibu wa Qur'an. Muislam yupo tayari aseme uongo, azini lakini sio kuingia msikitini akiwa hajaoga, kunawa au kutawa'za/dha'. Kwa hapo maandiko yanawaongoza ndio maana muda wote muislam lazima awe msafi, mwanaume hata akikojoa anatakiwa kunawisha dhakari wanaita Kustanji. Maandiko yanawaongoza hivyo Waislam.

Tofauti na Imani ya Kikristo ambayo hata unaweza kula kwa mikono isiyonawiwa na haitakuzuia wewe usiingie Mbinguni/Peponi Mafundisho ya Yesu Kristo mwenyewe Marko 7:1-15 mafarisayo walimchallenge Yesu, baada ya kuwaona wanafunzi wake wakila kwa mikono isiyonawiwa. Yesu alikemea sana kwanini wanazingatia sana mapokeo ya kibinadamu kuliko kushika amri za Mungu?

Mark 7:15
Mstari wa 15 ndio Yesu akaja kufunga mjadala, "Hakuna kitu kilicho nje ya mtu ambacho kikimwingia chaweza kumtia unajisi, bali vile vimtokavyo, ndivyo vimtiavyo unajisi yule mtu."

Kwahiyo Kiimani kwenye Biblia suala la usafi wa Mwili halina msaada wowote wa kuingia Mbinguni ingawa Kuna mistari inasisitiza kwaajili ya usafi.

KITABIA:
Kitabia na Kitamaduni Usafi ni hulka ya mtu, unaweza kuwa Muislamu na ukawa Mchafu au msafi au ukawa Mkristo ukawa msafi au mchafu.
 
Nimekuuliza swali?
Muanzilishi wao waislamu Muhammad (pedophile)

Alikuwa anatumia mawe kwa mujibu wa kitabu sahihi cha waislamu

Ili la maji lilianza lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…