Wewe umemuelewa???Ungetuliza akili unge muelewa vizuri sana, ila kwakuwa una mhemko ndio hivyo tenaaaa
Sawa kakak mkubwa nimekuelewa, lakini wakati mwingine huwa unaandika vitu vya kukera sana. Tuvumiliane tuMkuu Allency ,wewe mimi unanijua in reality au unanijulia tuu humu jf?。Nitafute uteuzi wa nini ili nikafanye nini?!。
Hakuna ubaya tukikumbushana
p
- Pasco Mayalla ni mwandishi wa habari,mtangazaji na mwanasheria wakili wa kujitegemea anayefanya kazi zake kwa kujitolea
- Ameisha fikisha umri wa kustaafu, kwa sasa ni mstaafu mwenye wake wawili,miji miwili, watoto 9 na wajukuu 7!, hatafuti uteuzi wowote kwa yeyote na kwa sasa niko likizo nchini Marekani ambako naishi kwenye nyumba yangu mwenyewe ya kununua sio ya kupanga!, nitafute uteuzi ili niwe nani nifanye nini wapi?。
Asante sana mdogo wangu Allency , ni kweli sio tuu wakati mwingine naandikia vitu vya kukera sana, bali hata maswali yangu kama mwandishi wa habari, sometimes yanakera, wengi wa generation yenu, mmenifahamu mimi ile siku nilipouliza swali hiliSawa kakak mkubwa nimekuelewa, lakini wakati mwingine huwa unaandika vitu vya kukera sana. Tuvumiliane tu
Mkuu Sirlama, yote usemayo ni kweli, kama uko Tanzania na hujawahi kusafiri nje, unaweza usinielewe na kulielewa bandiko hili, airports zote za nchi za Kiislamu, wanatumia maji tiririka kwenye public toilets na sehemu za kuswalia, airports zote na hotel zao kwenye nchi za kiKristo wanatumia TP na hakuna maji chooni.Hili swala limekaa zaidi kimakuzi jinsi mtu alivyo fundishwa na wazazi wake tokea akiwa mdogo na halihusiani na dini moja dhidi ya nyingine kama mtoa mada anavyotaka kuhitimisha kuhusiana na mada husika. Lakini katika uislam hata Kwa kutumia akili ya kawaida ni lazima msisitizo wa kutawadha kwa kutumia maji uzingatiwe tena Sanaaa sababu kuu ni namna ya wanavyofanya ibada ambapo kuna husisha kusujudu Kwa namna flani hivi ambayo , maji nilazima bila hivyo utawachafulia wezako hali ya hewa na vibe ya ibada kuondoka .
Ka' Pasko , pasi na kujalisha Dini, maji ni usafi zaidi kuliko karatasi, hasa kwa sisi tukiwa hedhi.Wanabodi,
Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na kwa maslahi ya taifa.
Mimi kama mwandishi wa habari, ni muelimishaji umma, ukiona jambo zuri la jamii fulani, waelimishe na wengine wafuate.
Hii ni mada ya swali Je Wajua Kwenye Usafi wa Mwili, kuna uwezekano Waislamu ni Wasafi Zaidi ya Wakristo?. Waislamu Hujiswafi kwa Maji, Wakristo kwa Karatasi!, Huku Sio Kujipaka?.
Jambo la leo ni usafi binafsi wa mwili, baada ya kupunguza uzito, wenzetu Waislamu na nchi za Kiislamu, wanatumia maji kujiswafi, lakini Wakristo na nchi za Kikisto wanatumia karatasi laini, toilet paper, kujiswafi kwa kujifuta baada ya ile shughuli, hapa nauliza ni kujifuta au pia kujipaka?.
Hizi dini kuu zote mbili, Wakristo na Waislamu, ni watoto wa baba mmoja Nabii Ibrahim, Waislamu ni uzao wa mzaliwa wa kwanza, Ismail, na Wakristo wa ni uzao mzaliwa wa pili, Isaka. Sheria ya Mungu wa dini zote mbili ni sheria moja ya Musa iliyoshushwa kwenye torati.
Kwenye sheria hiyo, Mungu alielekeza namna ya kujiswafi, kabla hujaenda mbele zake na kuelekeza kabisa, lazima unawe kwa maji tiririka!.
Ukristo ulipoingia, wakabadili baadhi ya mambo, ikiwemo kutumia karatasi laini kujiswafi baada ya ile shughuli. Katika pita pita yangu nchi nyingi za Kiislamu, kwenye public toilets zao, kuna maji tiririka, lakini kwenye nchi za Kikristo, kuna TP!.
Sisi Tanzania kwasababu nchi yetu haina dini, public toilets zetu zina both, maji tiririka na TP. Ukisafiri kutokea Dar kwenda Dubai, Doha, Muscat, UAE, kote huko kwenye public toilets zao, utakuta maji tiririka, na TP. Ukienda SA, London, Paris, New York, kwenye public toilets zao, kuna TP only hakuna bomba lolote la maji!.
Japo TP inasafisha, kwa vile ni kavu, inasafisha kwa kupaka, huwezi kulinganisha na maji tiririka ambayo yanasafisha kabisa compared to TP.
Kwa vile sheria ya usafi wa mwili imeelekezwa kidini, na ni Waislamu wanaitekeleza kama Mungu alivyoelekeza, hivyo kuna uwezekano kwenye usafi wa mwili, tukubali tukatae, Waislamu ni wasafi zaidi kuliko Wakristo, na kwa kulijua hilo na umuhimu wa usafi, wanawake wa kisasa wenye kujijali, wanatembea na wipes, na nyumba nyingi za kisasa wanatumia maji tiririka.
Kwa wenzetu Waislamu, wale hata wale wenzetu wao, wakiwa kwenye hali fulani ile, huwa hawafungi na hawaruhusiwi kwenda kuswali Masjid au Msikitini, lakini sikuwahi kusikia hili kwa Wakristu, hivyo wenzetu wale, hata wakiwa kwenye ile hali, wanatinga tuu ibadani mbele za Mungu!, hivyo inawezekana kwenye usafi binafsi, wanawake wa Kiislamu ni wasafi kuliko wanawake wa kikristo?.
Tena usikute usafi huu kwa Waislamu sio usafi tuu wa mwili, ni mpaka moyo na roho, ndio maana wanawake wa Kiislamu wanaweza kuvumilia na kustahimili uke wenza, na ingefanywa survey ya ni wanawake gani akiwa mama wa kambo, anatesa watoto wa aliyemtangulia, a wicked stepmother, mngeshangazwa na matokeo.
Kuna vitu vingi wazungu wametupotosha sisi Wakristo ikiwemo hoja ya mke mmoja, sio mpango wa Mungu, ndio maana nilimpongeza yule Blaza wangu na kumshauri "Pongezi Rais Magufuli Kuwa Mkweli Daima. Tuanzishe Church of Africa, Tuoe Wake Wengi, Tuzae Watoto Wengi?"
Nani aliwaambia wazungu na nchi za Kikristo TP tuu inatosha?.
Nimepandisha bandiko hili kufuatia mimi ni mpenda kula kula vyakula locals kila ninaposafiri, Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi? sasa sometimes, tumbo linachafuka ukiwa safarini, inakubidi ujiswafi kwa maji tiririka, tumbo linapokutibuka, ukakuta hakuna maji ni TP pekee ni shughuli, hivyo nimekereka sana na hili!. Hawa wazungu vipi?.
WHO wanapaswa watoe muongozo na maelekezo, public washrooms zote lazima ziwe na maji tiririka na TP, ili wale wa kunawa, wawe huru wanawe na wale wa kujipaka, waendelee kujipaka!.
Paskali
Rejea za mleta mada kuhusu Waislamu na Wakristo
- Waislamu mliofanikiwa kwa Elimu ya Shule za Mission badala ya Madrasa kuweni na Shukrani kwa Wakristo waliowafikisha hapo mlipo
- Japo Wakristo na Waislamu ni Watoto wa Baba Mmoja, Nabii Ibrahim na Mungu ni Mmoja, Kati ya Ismail na Isaka ni nani aliyetolewa Sadaka ya Kuchinja?
- Je, wajua Wakristo huwasindikiza Waislamu Kufunga Ramadhan? Leo ni Jumatano ya Majivu, Wakristo tutafunga siku 40, vipi Waislamu Mtatusindikiza?
- Mwarobaini wa Kweli wa Mahakama ya Kadhi ni Huu, Wakristo, Waislamu, Kuukubali Bila Matatizo!.
Not just that, maumbile ya kike yanahitaji exta hygienic care than men, hawa wazungu wana maana gani kushindwa kuweka kale kabomba tuu ka wash kwenye public washrooms zao?!.Ka' Pasko , pasi na kujalisha Dini, maji ni usafi zaidi kuliko karatasi, hasa kwa sisi tukiwa hedhi.
Haya sasa, mnaweza kunidharau mimi na kunibeza kuzungumzia kujiswafi kwa kutumia maji. Msikilize huyu, ni mtu mwenye heshima zake, anaye heshimika humu, Mkuu Alamaa, Maalim Mohamed Said, kwenye video hii, amegusia uswafi wa Waislamu kutumia majiWanabodi,
Hii ni mada ya swali jee wajua kuwa kwenye usafi binafsi wa mwili, kuna uwezekano Waislamu ni wasafi zaidi ya Wakristo?. Waislamu wanaofuta misingi
ya dini ya Kiislamu, hujiswafi kwa maji, mara tano kwa siku kwa ajili ya kufanya swala. Hivyo hata katika yale mahitaji ya kimwili yanahitaji usafi, Waislamu wanajiswafi kwa maji wakati Wakristo wanajifuta kwa Karatasi!. Huku sio kama kujipaka?.
Kwa vile wengi bado hawajui nano science, ukijifuta kwa karatasi, kuna particles ndogo ndogo huwa hazitoki na kule mlangoni karatasi haifiki, au kwa wenzetu wa jinsia ya kike, karatasi haiwezi kusafisha kule, ni maji tuu! .
Jambo langu la leo ni kuhusu usafi binafsi wa mwili, baada ya kupunguza ule uzito, uwe ni wa chakula au wa maji, wenzetu Waislamu na nchi za Kiislamu, ni wasafi zaidi ya Wakristo kwasababu wao wanatumia maji tiririka kujiswafi, lakini Wakristo na nchi za Kikisto wanatumia karatasi laini, toilet paper, au TP kujiswafi kwa kujifuta baada ya ile shughuli, hapa nauliza kujifuta tuu ni usafi au ni kupunguza tuu kwa kujipaka?.
P
Haya sasa, mimi ni kinyangarika unaweza kunibishia, huyu sasa unabisha?.
learn how to think V's What to thinkYou could be true, ila pia, on the other way it could be you! Kuwa kichaa sio mpaka kuokota makopo! Je, Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania?
P
Nondo imekuingia kunako mpaka imesababisha ucwe na hoja.Hujasomeka, ushaamza kuvuta jani siku huz mzee wetu?
Kama kwako nazo hizi ni nondo basi una safar ndefu sana ya maisha!Nondo imekuingia kunako mpaka imesababisha ucwe na hoja.
Watu wa visiwani uchafu wao ni nini?!
Uchafu wao ni mwili kama mada inavyosema.Watu wa visiwani uchafu wao ni nini?!
Yaani "zero" kwa kuwa katupa jiwe gizani?Huyu paschal mayalla ndiyo kaandika pumba hizi? Nilifikiri Jamaa ni muelewa wa mambo kumbe kichwani ziro kabisa!
BInafsi nachukia sana toilet paper...bora niingie chooni na chupa ya maji ya kunywa.....Hujasomeka, ushaamza kuvuta jani siku huz mzee wetu?