Je, Wajua Kwenye Usafi wa Mwili, Waislamu ni Wasafi Zaidi ya Wakristo?. Waislamu Hujiswafi kwa Maji, Wakristo Kwa Karatasi!, Huku Sio Kujipaka?

Huyu paschal mayalla ndiyo kaandika pumba hizi? Nilifikiri Jamaa ni muelewa wa mambo kumbe kichwani ziro kabisa!
Lakini ni kweli toilet paper si afya..kinyesi chabaki kwenye kiini cha makalio,,halafu zingatia unaenda ku toa jasho...mtumeee ndio maana mademu wa kizungu hunuka
 
Kuliko huko israel kwenye taifa teule?au huko ulaya ambapo mashoga wanafungishwa nsoa kanisani? Waulize wataalamu wa afya wakwambie kipi bora kati ya maji na karatasi kwenye kujisafisha

Kule Ulaya mashoga yanajitangaza wazi ndio maana kunafahamika, lakini pwani huko mashoga ni wengi sana kwa ajili huko kujitekenya mqundu eti kutawadha, kunafanya mnakua na nyege sana....hebu ona mnachofanya hadi imefikia watoto, so sad... Itazame hii video https://www.jamiiforums.com/data/video/5216/5216350-a5d6e6850d1b0e7854e3ee2d342f61fa.mp4
 
Hao waliokufundisha kutembea na mavi na kutuletea harufu za ajabu wamegundua kwamba maji ni bora kuliko makaratasi, hakuna mafundosho bora na yaliyokamilika kama ya uislamu as time goes on kila kitu kinakuwa wazi
 

Attachments

  • Screenshot_20241116-093645_Chrome.jpg
    290.8 KB · Views: 2
  • Screenshot_20241116-093555_Chrome.jpg
    139.1 KB · Views: 3
  • Screenshot_20241116-093438_Chrome.jpg
    347.5 KB · Views: 4
  • Screenshot_20241116-093226_Chrome.jpg
    322.2 KB · Views: 3
Kama umebadilidili dini si useme tu ๐Ÿ˜‚ we sio leo tu kila siku waislamu waislamu tumekushtukia. Umetumwa wewe ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ