Je wajua maajabu taratibu za ndoa nchini Sudan Kusini?

nipo online

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2022
Posts
1,039
Reaction score
2,657
katika kitongoji cha Dinka nchi Sudani Kusini mwanaume Sudan, ukifanikiwa kuwa na wanawake wengi ndio utaweza pata wadhifa wa kua kiongozi katika jamii,

Pia kutokana na tamadumi za Sudani kusini ukifa bila kuoa haraka sana atajitokeza mwanafilia atakuolea mke kisha watoto wake wataitwa majina yako.

Yani Sudan kusini ulizaliwa tu jua jina lako halipotei
 
Rudia kusoma ulichoandika kisha uandike tena vizuri

Halafu nikajua ni pale Kidia kwetu Old Moshi
 
katika kitongoji cha Dinka nchi Sudani Kusini mwanaume Sudan, ukifanikiwa kuwa na wanawake wengi ndio utaweza pata wadhifa wa kua kiongozi katika jamii,

Pia kutokana na tamadumi za Sudani kusini ukifa bila kuoa haraka sana atajitokeza mwanafilia atakuolea mke kisha watoto wake wataitwa majina yako.

Yani Sudan kusini ulizaliwa tu jua jina lako halipotei
Wale mila zao na kabila za mara za wakuria na wajaluo zinafanana. Ambaye alietoa mahari watoto wnaozaliwa na huyo mke ni wake. Haijalishi akienda wapi akirudi na watoto ni wa mume. Na anarudi kwa mume sio kwao.
 
Back
Top Bottom