katika kitongoji cha Dinka nchi Sudani Kusini mwanaume Sudan, ukifanikiwa kuwa na wanawake wengi ndio utaweza pata wadhifa wa kua kiongozi katika jamii,
Pia kutokana na tamadumi za Sudani kusini ukifa bila kuoa haraka sana atajitokeza mwanafilia atakuolea mke kisha watoto wake wataitwa majina yako.
Yani Sudan kusini ulizaliwa tu jua jina lako halipotei