Je, wajua mara ya mwisho Simba kuchukua ubingwa?

Simba mara ya mwisho kuchukua ubingwa

Sukari kilo ilikuwa 700.
Ze comedy ilikuwa eatv.
Leicester city ilikuwa champion ship.
Diamond bado alikuwa tandale.
Nauli ya daladala ilikuwa 300/=
Flat screen na smart phones hazikuwepo.
Azam ilikua unga wa ngano tu...leo kuna timu, tv, chapati hadi nazi za azam
Kingugi ilikua kijiji leo mtaa
 
watu mna maneno ya uchokozi mi nashauri hii thread ikaandikwe kwenye gazeti lolote la kila siku lisomwalo sana ili wasio na mitandao wasome hii historia muhimu.maana hata walioko darasa la saba mwaka huu hawajawahi kuona simba akichukua ubingwa tangu wazaliwe
 
1.Nauli ya dalada ilikua 150
2.Sembe kilo ilikua 500
3.Sukari kilo ilikua 600
4.network ya 3G ilikua haijaanzishwa hata nchini,
5.Mtandao wa Halotel ulikua haujaanzishwa
6.Tanzania tulikua bado tunatumia Anologia,
7.RC dsm alikua LUKUVI
8.Radio E-FM ilikua haijaanzishwa wala AZAM TV
 
9. Juma Nature alikuwa kinara wa muziki wa bongo flava Tz
10. Lowassa alikuwa waziri wa CCM
11. Alshabaab haikuwapo
11. Boko haram haikuwapo
12. Gaddafi alikuwa rais wa Libya
13. Daladala za treni haikuwapo Dar
14. Zitto alikuwa CHADEMA
15..............
 
1. 3. Na 4 umedanganywa labda kaulize tena simba alibeba kombe mwaka gani...
 
9. 10 na 11 kaulize tena kwa mzee wako maana ulikuwa bado mtoto kujua hata Lowassa uwaziri kastaafu lini na simba kombe ilibeba lini
 
Hii uzi imekosa wachangiaj ila views ni nyingi kweli

23.Paul Makonda alikuwa hata uongozi wa UVCCM hana
 
RAHA SANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…