Je, wajua mara ya mwisho Simba kuchukua ubingwa?

-meya wa jiji dar alikua CCM
-BOOM LILIKUA 500O/= PER DAY
-Mpndzoo alikua hajakatwa mkia
-
-
 
Magufuri alikuwa waziri wa kitoweo,Masaburi alikuwa Lord Mayor wa Dsm, Henry Joseph alikuwa anacheza Soka Ulaya.Samwel Sita alikuwa spika wa bunge.
 
Una matatizo mtoto wewe! Unaposikia bingwa mtetezi unaelewa maana yake?
Yanga alikuwa bingwa msimu wa 2015/2016 na msimu wa 2016/2017 bado unaendelea hivyo pole kwakutojua upo mwaka gani kijana wangu... Jaribu kufatilia unaweza kukuta hata baba ako ni mdogo angu
 
Yanga alikuwa bingwa msimu wa 2015/2016 na msimu wa 2016/2017 bado unaendelea hivyo pole kwakutojua upo mwaka gani kijana wangu... Jaribu kufatilia unaweza kukuta hata baba ako ni mdogo angu
Machampioni wa Tz Far Young Africans watakoma kuwa mabingwa kama watavuliwa ubingwa huo. Kwa sasa nchi ina bingwa mmoja tu.
 
Kila maandamano makubwa ya simba.. Lazima MTU afe.. Imekaaje hii...kama juzi songea
 
Usisahau na mara ya mwisho Simba kuifunga Ngada FC magoli 6, mkate ulikuwa Tsh 6/=
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…