Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuri alikuwa waziri wa kitoweo,Masaburi alikuwa Lord Mayor wa Dsm, Henry Joseph alikuwa anacheza Soka Ulaya.Samwel Sita alikuwa spika wa bunge.Simba mara ya mwisho kuchukua ubingwa
Sukari kilo ilikuwa 700.
Ze comedy ilikuwa eatv.
Leicester city ilikuwa champion ship.
Diamond bado alikuwa tandale.
Nauli ya daladala ilikuwa 300/=
Flat screen na smart phones hazikuwepo.
Azam ilikua unga wa ngano tu...leo kuna timu, tv, chapati hadi nazi za azam
Kingugi ilikua kijiji leo mtaa
Ray c alikuwa mke wa Mwisho Mwampamba18.Kichuya alikuwa machinga stendi ya msavu
Trump hakuwa mwanasiasa9. 10 na 11 kaulize tena kwa mzee wako maana ulikuwa bado mtoto kujua hata Lowassa uwaziri kastaafu lini na simba kombe ilibeba lini
Kwani yanga ilipochukua trump alikuwa rais? Makonda alikuwa hajaanzisha vita ya dawa za kulevyaTrump hakuwa mwanasiasa
Kwani mpaka sasa bingwa nani? Una umri gani wewe?Kwani yanga ilipochukua trump alikuwa rais? Makonda alikuwa hajaanzisha vita ya dawa za kulevya
Unauliza umri wangu unataka uniamkie? Angalia unaweza kuwa unabishana na baba ako... Saizi hakuna bingwa bado kama hujui..Kwani mpaka sasa bingwa nani? Una umri gani wewe?
Una matatizo mtoto wewe! Unaposikia bingwa mtetezi unaelewa maana yake?Unauliza umri wangu unataka uniamkie? Angalia unaweza kuwa unabishana na baba ako... Saizi hakuna bingwa bado kama hujui..
Yanga alikuwa bingwa msimu wa 2015/2016 na msimu wa 2016/2017 bado unaendelea hivyo pole kwakutojua upo mwaka gani kijana wangu... Jaribu kufatilia unaweza kukuta hata baba ako ni mdogo anguUna matatizo mtoto wewe! Unaposikia bingwa mtetezi unaelewa maana yake?
Machampioni wa Tz Far Young Africans watakoma kuwa mabingwa kama watavuliwa ubingwa huo. Kwa sasa nchi ina bingwa mmoja tu.Yanga alikuwa bingwa msimu wa 2015/2016 na msimu wa 2016/2017 bado unaendelea hivyo pole kwakutojua upo mwaka gani kijana wangu... Jaribu kufatilia unaweza kukuta hata baba ako ni mdogo angu
Usisahau na mara ya mwisho Simba kuifunga Ngada FC magoli 6, mkate ulikuwa Tsh 6/=Simba mara ya mwisho kuchukua ubingwa
Sukari kilo ilikuwa 700.
Ze comedy ilikuwa eatv.
Leicester city ilikuwa champion ship.
Diamond bado alikuwa tandale.
Nauli ya daladala ilikuwa 300/=
Flat screen na smart phones hazikuwepo.
Azam ilikua unga wa ngano tu...leo kuna timu, tv, chapati hadi nazi za azam
Kingugi ilikua kijiji leo mtaa