Je, wajua mara ya mwisho Simba kuchukua ubingwa?

Je, wajua mara ya mwisho Simba kuchukua ubingwa?

1. 3. Na 4 umedanganywa labda kaulize tena simba alibeba kombe mwaka gani...
Kaka huu ni UTANI TU...Usitoe povu wala USIMKOSOE mleta mada......

Kwa kweli UMEFURAHISHA.....

Kipindi hicho SIMBA wanabeba KOMBE mara ya mwisho nakumbuka GOLIKIPA alikuwa MWAMEJA...[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kweli YANGA rahaaaa...Wazee wa NDEGEEE...YANGA wa Kimataifa..
 
simba oyeee
SIMBA ooooohh
17b68f708dfe06670339470aec19d30c.jpg
 
S.IMBA WAMEKALIA RANGI ZA UCHAWI UCHAWINI ( SI HILO JEZI LA SHABIKI WAO AKIWA HOME ANATAFUTA USHINDI WA NDANI AU MEZANI KAMA WALIVYO YAAN)
 
Mara ya mwisho Simba kuchukua ubingwa:

1. Sukari kilo ilikuwa 700.

2. Ze comedy ilikuwa eatv.

3. Leicester city ilikuwa champion ship
.
4. Diamond bado alikuwa tandale.

5. Nauli ya daladala ilikuwa 300/=

6. Flat screen na smart phones hazikuwepo.

7. Sudani kusini ilikuwa siyo nchi

8. EAC ilikuwa na nchi tatu tu

9. Papa Francis alikuwa bado Kardinali tu

10. Osama Bin Laden alikuwa bado yuko hai

11. Al Shabab ilikuwa haijaundwa

12. Uhuru Kenyata alikuwa hawajawa Rais

13. Magufuli alikuwa hajawa Raisi

14. Kinana alikuwa hajawa katibu mkuu wa CCM

15. Dr. Slaa alikuwa bado katibu mkuu wa CHADEMA

16. Zito Kabwe alikuwa bado naibu Latino mkuu wa CHADEMA

17. ACT na ADC zilikuwa hazijazaliwa

18. TV za analojia zilikuwa bado zinafanya kazi

19. Sep Blatter alikuwa bado raisi wa FIFA

20. Tenga alikuwa bado raisi wa TFF

21. Dionizi Malinzi alikuwa bado mwenyekiti wa BMT

22. Barabara za mabasi yaendayo kasi hazikuwepo Dar

23. Daraja la Kigamboni halikuwepo

24. Mbeya ilikuwa haina hata jengo moja lenye lift

25. Uwanja wa ndege wa Songwe ulikuwa haujazinduliwa

26. Mwanza ilikuwa haijapata taa za kuongozea magari barabarani.

27. Mbeya City ilikuwa haijaundwa

28. FastJet ilikuwa haijaanza kuendesha biashara zake nchini Tanzania

29. Nokia ilikuwa ndiyo bado simu bora kabisa

30. Gesi ya Mtwara ilikuwa haijaanza kuchimbwa

31. Kanumba, Sajuki, Shalo milionea, Mafisango, John Mgandu, Syote, Makoye, Murishiwa, Banza Stone, Cpt. Komba, Nelson Mandela, Gaddafi, na marehemu wengine wengi walikuwa bado wako hai.

32. Alex Ferguson alikuwa bado anaifundisha Manchester United.
33 - 100 zitaendelea toleo lijalo.

34:- Ray Kigosi alikuwa hajanywa maji mengi ili awe mweupe

NB: Ukiona timu imebakiza kujivunia tu magoli ya za hapo zamani za kale, ujue timu hiyo sasa imebaki hadithi za midomoni
Siku ile ulipolala na dadako !
 
Pamoja Na Yanga kuchukua Mara 27 mafanikio ni kufikaRobo fainali tu bora kutokushiriki
 
Back
Top Bottom