Je, wajua matumizi ya "A" na "THE" katika lugha ya kiingereza?

Je, wajua matumizi ya "A" na "THE" katika lugha ya kiingereza?

Joined
Mar 24, 2020
Posts
44
Reaction score
89
Maneno "a" pamoja na "the" ni kifungu cha mameno ambayo huwa yanatumika kama utambulisho wa nomino katika lugha ya kiingereza .utofauti wa haya maneno mawili ni:

"A" hutumika kutambulisha nomino ambayo haina umbo maalum.kwa mfano:- tuchukue nomino ambayo haina umbo maalum kama "maji" basi sentensi itakuwa, "this is a water from indian ocean".hatuwezi kusema "this is the water from indian acean.

"The" ni kinyume cha "A" ambapo hutumika kwa ajili ya utambulisho wa nomino ambayo ina umbo maalum hapa tutumie kitabu sentensi yetu itakuwa ni, "this is the book".hatuwezi kusema "this is a book.

Nafikiri nitakuwa kidogo nimetoa darasa kwa ambao walikuwa wakichanganyikiwa juu ya maneno haya mawili.
 
Sawa mwalimu pia nisaidie kwa hili naweza kutumia njia ipi kusikia na kuelewa maneno yanayozungumzwa kwenye movies maana kwangu inaniwia vigumu kuyaelewa kwa jinsi Wanavyoyatamka hasa hasa hawa wazungu, tofauti na wanaigeria kwakiongea nawaelewa tatizo kwa akina Van damme...
 
Sawa mwaaaalimu pia nisaidie kwa hili naweza kutumia njia ipi kusikia na kuelewa maneno yanayozungumzwa kwenye movies maana kwangu inaniwia vigumu kuyaelewa kwa jinsi
Wanavyoyatamka hasa hasa hawa wazungu, tofauti na wanaigeria kwakiongea nawaelewa tatizo kwa akina Van damme...
Hili Ni janga la wengi hata Mimi Ni mmoja wapo,binafsi mzungu akiwa ktk radio au tv simuelewi kabisa ila tukiwa live namueoewa vilivyo.Hii iko shida na ndomana na wao utakuta movie ni ya kiingereza lakini wanatuwekea subtitle kwenye movie ili tuone walichotamka.
 
Tumia subtitle mimi pia ni muathiriwa wa lafudhi zao yaani pamoja na ki english cha form 4 ila bila subtitle unanipoteza vizuri tu
 
Tumia subtitle mimi pia ni muathiriwa wa lafudhi zao yaani pamoja na ki english cha form 4 ila bila subtitle unanipoteza vizuri tu
Poa japo nahitaji niwe nauwezo wa kuelewa bila subtitles, kuna movie zingine ni kali balaaah ila hazina subtitles kwa hiyo nakosa mautamu
 
Lakini pia "the" huwekwa ktk nomino/jina ambalo Mimi mtamkaji na wewe msikilizaji tulifahamu au tunafahamu vizuri hicho kitu au jina lililotamkwa.Hii "a" Ni pale ambapo jina au nomino sio maalum au daaah...sijui nisemeje hapa ,kufundisha nako kazi sana Yan.
 
Hili Ni janga la wengi hata Mimi Ni mmoja wapo,binafsi mzungu akiwa ktk radio au tv simuelewi kabisa ila tukiwa live namueoewa vilivyo.Hii iko shida na ndomana na wao utakuta movie ni ya kiingereza lakini wanatuwekea subtitle kwenye movie ili tuone walichotamka.
Tatizo wanaongea kwa kudeka hawakazi ulimi wananikera sana
 
Hii ni hatari, bora ujiunge na kituo cha Ras Simba uanze hatua za kujifunza lugha ya kigeni ya Malkia.
 
Back
Top Bottom