ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Ndio siamini kabisa kabisa, bora hata angeomba faili la MpoleMkuu hauamini au?
Magazeti ya kuuza chapati achana nayoSio Mimi niliesema ....but ni gazeti pendwa nchiniView attachment 2313685
Feitoto amesubiri ubingwa miaka 8 hana maajabuWakibisha.. .tutawaletea Feitoto [emoji23][emoji23]
Mkuu.....wananchi wanafuraha Sana msimu huuTukio la Arusha halikuwaacha salama. Kwasasa Kinyesi kimepanda kutoka kwenye chupi hadi kwenye ubongo. Madhara yameanza kujitokeza.Tusubiri muda utatoa majibu.
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Amepata kombe na uzee huyoNajua ukisikia jina hili....unatetemeka
Hata ilo la chapati jamii ya udaku wa michezoHapana mkuu..... ya chapati ni yale ya kiinglish