Je, wajua Mayele ni sawa na kikosi kizima cha Simba?

Je, wajua Mayele ni sawa na kikosi kizima cha Simba?

Mimi nipo pamojah na wewe mkuu, ni WACHAWI pekee ndo watakuja kukubisha
Mayele = Kolo zote..?
 
Ndio siamini kabisa kabisa, bora hata angeomba faili la Mpole
Sio Mimi niliesema ....but ni gazeti pendwa nchini
FB_IMG_16595196867541396.jpg
 
Mimi nipo pamojah na wewe mkuu, ni WACHAWI pekee ndo watakuja kukubisha
Mayele = Kolo zote
Sasa Kama wanabishana na gazeti lenye waandishi pendwa......kwann wasiwe vichawi[emoji23][emoji23]
 
Wakibisha.. .tutawaletea Feitoto [emoji23][emoji23]
 
Nyuzi kama hizi zinawafanya tuwaambia mnabweka bweka hovyo kama asemavyo legendary Luc Eymael halafu mnasema mnatukanwa
 
Nyuzi kama hizi zinawafanya tukazane kuwambia nyie ni manyani mambwa mnabweka bweka hovyo kama asemavyo legendary luc eymael halafu mnasema mnatukanwa
mkuu....kwani we unadhani kocha wetu Zoran amekosea kuomba video za mayele?
 
Katika wachezaji ambao mbumbumbu fc anawapa homa basi Mayele na sioni Kwa namnagani tarehe 13 atawaacha salama.
 
Ndio maana eymael aliwaita uneducated yaani Kwa sababu wenye magazeti wanajua IQ yenu ndogo wanawawekea vichwa vya habari vinavyofanana na akili zenu
 
Back
Top Bottom