Je, wajua Mayele ni sawa na kikosi kizima cha Simba?

UKIONA MPAKA KOCHA ANAOMBA VIDEO ZAKE UJUE HALI SIO SHWARI...
 
Basi George Mpole atakuwa ni sawa na kukosi kizima cha Utopwinyo
 
Katika wachezaji ambao mbumbumbu fc anawapa homa basi Mayele na sioni Kwa namnagani tarehe 13 atawaacha salama.
Kabisa ....mkuu kocha Zoran ameomba iundwe tume kabisa ya kuangalia mayele[emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo anaweza kucheza peke yake au una maana gani? Mashabiki wa Tanzania akili zenu mnazijua wenyewe.
 
Epusha ukoo wako na aibu kama hizi bro. Utafunguaje thread yenye low IQ kama hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…