Je, wajua Mayele ni sawa na kikosi kizima cha Simba?

Habari ndugu Wana JF
Kutokana na uchambuzi wangu, ufuatiliaji, na references mbalimbali kutoka kwa wachambuzi, vyombo vya habari imethibitika Mayele mmoja sawa na kikosi chote cha Simba + benchi la ufundi
................................
Vyanzo Kutoka kwa makolo

Kocha wa makolo Zoran ameomba atumiwe video zote za mshambuliaji mkali ( aliyechangia kocha Pablo) kutimuliwa pale ukoloni.....namzungumzia Fiston Mayele ili aandae topic kwaajili ya kuwafua wachezaji wake

My take
Imagine Zoran anataka kuandaa lecture itakayoitwa "how to handle Fiston Mayele"
Je unazani Mayele Ni mchezaji wa kawaida? Binafsi naona Mayele = kikosi cha Simba + babra + mwamedi + bench la ufundi la kolo
Au nyie wapwa mmnasemaje[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

View attachment 2313557
UKIONA MPAKA KOCHA ANAOMBA VIDEO ZAKE UJUE HALI SIO SHWARI...
 
Katika wachezaji ambao mbumbumbu fc anawapa homa basi Mayele na sioni Kwa namnagani tarehe 13 atawaacha salama.
Kabisa ....mkuu kocha Zoran ameomba iundwe tume kabisa ya kuangalia mayele[emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo anaweza kucheza peke yake au una maana gani? Mashabiki wa Tanzania akili zenu mnazijua wenyewe.
 
Habari ndugu Wana JF
Kutokana na uchambuzi wangu, ufuatiliaji, na references mbalimbali kutoka kwa wachambuzi, vyombo vya habari imethibitika Mayele mmoja sawa na kikosi chote cha Simba + benchi la ufundi
................................
Vyanzo Kutoka kwa makolo

Kocha wa makolo Zoran ameomba atumiwe video zote za mshambuliaji mkali ( aliyechangia kocha Pablo) kutimuliwa pale ukoloni.....namzungumzia Fiston Mayele ili aandae topic kwaajili ya kuwafua wachezaji wake

My take
Imagine Zoran anataka kuandaa lecture itakayoitwa "how to handle Fiston Mayele"
Je unazani Mayele Ni mchezaji wa kawaida? Binafsi naona Mayele = kikosi cha Simba + babra + mwamedi + bench la ufundi la kolo
Au nyie wapwa mmnasemaje[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

View attachment 2313557
Epusha ukoo wako na aibu kama hizi bro. Utafunguaje thread yenye low IQ kama hii?
 
Back
Top Bottom