Je, wajua Mayele ni sawa na kikosi kizima cha Simba?

Kwa hiyo anaweza kucheza peke yake au una maana gani? Mashabiki wa Tanzania akili zenu mnazijua wenyewe.
Hapana mkuu....ila yule Ni game changer......Ni mmoja kat ya wachezaji wachache duniani wanaoweza kubadilisha matokeo muda wowote
Ronaldo
Messi
Mayele
Aziz ki
 
Epusha ukoo wako na aibu kama hizi bro. Utafunguaje thread yenye low IQ kama hii?
Mkuu ...una maanisha kocha la KOLO WIZARDS fc ana low thinking capacity (low IQ)
 
Acha kudharau graduates
Sasa huyu aliyelea hii masa ni mwanachuo wa chuo fulani hapa Tz, wewe unaona hocho kichwa kinapaswa kukabithiwa sehemu yoyote ile?

They're half baked graduates.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mayele huyu ambaye akimuona mpole ananywea km ukuni uliomaliza kupiga nyeto lol.

Utopoloooo mnalo hili,

Byuti byuti.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mayele huyu ambaye akimuona mpole ananywea km ukuni uliomaliza kupiga nyeto lol.

Utopoloooo mnalo hili,

Byuti byuti.
Najua ....una makasiriko. sup zinakusubiri
 
Amemfunga simba goli ngapi vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…