Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Inavyojulikana humu jamaa ni mwanazuoni.Kweli hapo umeona kuna graduate?Au kwa sababu hata darasa la saba (LY) huwa wana graduation?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inavyojulikana humu jamaa ni mwanazuoni.Kweli hapo umeona kuna graduate?Au kwa sababu hata darasa la saba (LY) huwa wana graduation?
Miaka 4 yote dhaifu sasa si bora mfutweMlichukua ubingwa kipindi timu dhaifu
inasikitisha kwa kweli.....mtu smart Kama wew unakua kolo fans[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unachekesha sana weee, Mzumbe ningekuja kusoma faculty gan? Labda nikukaribishe wee ungekuja UDSM.
Sijawahi kufanyiwa pepa au assignment na mtu yeyote, sijawahi kutumia kibomu ktk pepa kwa level zote za Elimu nilizopita.
Kwa kifupi mie sio Kilazaaa.
Huko Yanga wanatakiwa watu km wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Byuti byuti.
Sijaelewa uhusiano wa nilichokiandika na maoni yako.Hata hivyo huko Mzumbe siji.Nimejiandikisha chuo cha Madrasa na nimejikita kusoma magazeti.Njoo mzumbe ( havard of africa mkuu).......nikupigishe lecturers zakutosha then ukajiajiri
Siku zote Mwanaume 'Ukimkojolea' vizuri anayeupenda Kunakotukuka 'Mkuyenge' wako kamwe hawezi Kukusahau na kila mara tu atapenda Kulitaja jina la 'Mbaioloji' wake ( wao ) Mkuu GENTAMYCINE ili na wengine Wajue na Awaringishie pia.inasikitisha kwa kweli.....mtu smart Kama wew unakua kolo fans
Napata hofu isije kuwa kumbe unapigania degree ya SAUT kama GENTAMYCINE
Fanya maamuzi.....haujachelewa kuamia kwa WANANCHIIIIIIIII[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utopolooo ni kwa watu wasio na akili, kwa maelezo ya Takadini.inasikitisha kwa kweli.....mtu smart Kama wew unakua kolo fans
Napata hofu isije kuwa kumbe unapigania degree ya SAUT kama GENTAMYCINE
Fanya maamuzi.....haujachelewa kuamia kwa WANANCHIIIIIIIII[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku zote Mwanaume 'Ukimkojolea' vizuri anayeupenda Kunakotukuka 'Mkuyenge' wako kamwe hawezi Kukusahau na kila mara tu atapenda Kulitaja jina la 'Mbaioloji' wake ( wao ) Mkuu GENTAMYCINE ili na wengine Wajue na Awaringishie pia.
Popoma wa SAUTI University [emoji23][emoji23][emoji23]Siku zote Mwanaume 'Ukimkojolea' vizuri anayeupenda Kunakotukuka 'Mkuyenge' wako kamwe hawezi Kukusahau na kila mara tu atapenda Kulitaja jina la 'Mbaioloji' wake ( wao ) Mkuu GENTAMYCINE ili na wengine Wajue na Awaringishie pia.
Sio shida yetu hiiTulikuwa hatuna pesa........mkuu but now Tukutane mwishon mwa ligue tuone Nani kibonde
Upoooooo nyonyooooo??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....Nani alikudanganya huoni hata sajili zetu zpo kiprofessional[emoji848][emoji848]
Nakutafuta wee shost, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiz ni Leo hujumaaa wananchi tumeaibishwa.....acha nilale mapemaaa