Je, wajua Mayele ni sawa na kikosi kizima cha Simba?

Je, wajua Mayele ni sawa na kikosi kizima cha Simba?

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Habari ndugu Wana JF,

Kutokana na uchambuzi wangu, ufuatiliaji, na references mbalimbali kutoka kwa wachambuzi, vyombo vya habari imethibitika Mayele mmoja sawa na kikosi chote cha Simba + benchi la ufundi.

...............

Vyanzo Kutoka kwa makolo

Kocha wa makolo Zoran ameomba atumiwe video zote za mshambuliaji mkali (aliyechangia kocha Pablo) kutimuliwa pale ukoloni, namzungumzia Fiston Mayele ili aandae topic kwaajili ya kuwafua wachezaji wake.

My take
Imagine Zoran anataka kuandaa lecture itakayoitwa "how to handle Fiston Mayele"

Je, unazani Mayele Ni mchezaji wa kawaida? Binafsi naona Mayele = kikosi cha Simba + babra + mwamedi + bench la ufundi la kolo
Au nyie wapwa mmnasemaje[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

FB_IMG_16595196867541396.jpg
 
Makolo wanaitumia mayele tetema style wakiwa mazoezini[emoji23][emoji23][emoji23]

Screenshot_20220803-221657.jpg
 
Kama hawa ndio aina ya graduates tunaowatengeneza, taifa lina kazi kubwa sana.

Our graduates are half-backed.
Sasa Kama kocha kaanda slides za mayele ....ili kuwafundisha wachezaji wake .....inakuwaje kitaalamu mkuu
 
Mimi nipo pamojah na wewe mkuu, ni WACHAWI pekee ndo watakuja kukubisha
Mayele = Kolo zote
 
Back
Top Bottom