Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Salaaam Wana JF...
Kwanza kabisa tujikumbushe kuwa JOHN BOCCO alikuwa ni mfungaji Bora wa msimu uliopita.
Kinachonishangaza ni kwamba msimu huu ni mechi ya 15 kwa KOLO kucheza lakini mshambuliaji wao MACHACHARI Hana hata assist wala Goli la OFFSIDE nalo ameshindwa kufunga.
Maajabu:. Yannick Bangala ambaye siyo forward lakini ana goal
Dr. Aucho ni kiungo wa katikati lakini ana magoal, ilhali John Bocco hana hata la offside.