Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
Kwani samati sio kapteni wa Stars? Vipi ubora wake na Msuva au Kibu Denis akiwa na timu ya TaifaKweli MAKOLO akili zmewapungua .....Boko si mlimpa u captain it means ndo mchezaji kiongoz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani samati sio kapteni wa Stars? Vipi ubora wake na Msuva au Kibu Denis akiwa na timu ya TaifaKweli MAKOLO akili zmewapungua .....Boko si mlimpa u captain it means ndo mchezaji kiongoz
Hakuna sehemu uliyoweka neno ligi . Magoli uliyotaja ya Makambo aliyofunga ni ya ligi ipi?Title inasema ligue
Aisee, kumbe unawapima wachezaji tegemezi? Mbona Bocco na Mugalu wametupia AzamSports Federation Cup? Mbona Bocco ameenda mbali akatoa assist kwenye CAF Confederation Cup? Au tufanye kuiondoa CAF CC kwa kuwa Yanga haishiriki, sio?Lakin pia makambo sio tegemez wa timu kama bocco
Mkuu mbona unaangaika Sana kumlikia vipofu wa usukuleni?Kwani Boko ni tegemezi pale Simba? Simba ni Sakho na Chama. Sasa kama umeyahesabu ya federation Kwa mama yenu wakambo kwa nn kwa hippopotamus msiyahesabu? Au yale mawaili kwa Masau sio ya federation?