Je wajua? Mechi 15 Bocco, Mugalu hawana asisti wala goli la offside

Je wajua? Mechi 15 Bocco, Mugalu hawana asisti wala goli la offside

Kumbe sakho na chama ndio tegemezi wenu? Hahaa ha jumlisha magoli yao yote ya ligi kuu hayafiki ya Saido Antibiotic Fundi ambae haimbwi
Mbna bocco alikuwa captain wa kolo
 
Lakin pia makambo sio tegemez wa timu kama bocco
Aisee, kumbe unawapima wachezaji tegemezi? Mbona Bocco na Mugalu wametupia AzamSports Federation Cup? Mbona Bocco ameenda mbali akatoa assist kwenye CAF Confederation Cup? Au tufanye kuiondoa CAF CC kwa kuwa Yanga haishiriki, sio?
 
Kwani Boko ni tegemezi pale Simba? Simba ni Sakho na Chama. Sasa kama umeyahesabu ya federation Kwa mama yenu wakambo kwa nn kwa hippopotamus msiyahesabu? Au yale mawaili kwa Masau sio ya federation?
Mkuu mbona unaangaika Sana kumlikia vipofu wa usukuleni?
 
Back
Top Bottom