Kwanza bocco kwenye klabu bingwa na FA hana magori?Magoli matano
Mawili mapinduzi cup
Matatu. Azam confederation
Lakin pia makambo sio tegemez wa timu kama bocco
Achana na hilo liutopolo halijui kitu.Bocco alifunga goli dhidi ya Jwaneng , juzi katoa assist kwa goli la Banda.Kwanza bocco kwenye klabu bingwa na FA hana magori?
Kwani Boko ni tegemezi pale Simba? Simba ni Sakho na Chama. Sasa kama umeyahesabu ya federation Kwa mama yenu wakambo kwa nn kwa hippopotamus msiyahesabu? Au yale mawaili kwa Masau sio ya federation?Magoli matano
Mawili mapinduzi cup
Matatu. Azam confederation
Lakin pia makambo sio tegemez wa timu kama bocco
Fei salum ana magoli manne na assist 2 Nbc pl hakuna kiungo anaemkuta kwenye timu yako labda kagere ambae ana goli 2 na penalt 2.Halafu lete takwimu za chama na faisal ili tujue upo serious na hyo comparison yko.
Bocco ni Striker mkabajiAchana na hilo liutopolo halijui kitu.Bocco alifunga goli dhidi ya Jwaneng , juzi katoa assist kwa goli la Banda.
Kumbe sakho na chama ndio tegemezi wenu? Hahaa ha jumlisha magoli yao yote ya ligi kuu hayafiki ya Saido Antibiotic Fundi ambae haimbwiKwani Boko ni tegemezi pale Simba? Simba ni Sakho na Chama. Sasa kama umeyahesabu ya federation Kwa mama yenu wakambo kwa nn kwa hippopotamus msiyahesabu? Au yale mawaili kwa Masau sio ya federation?
Hata chelsea walikuwa wanamtegemea uefa na ndiye anayeimbwa zaidi kwenye kubeba kombe ila nenda kahesabu magori yake,yapo mangapiKumbe sakho na chama ndio tegemezi wenu? Hahaa ha jumlisha magoli yao yote ya ligi kuu hayafiki ya Saido Antibiotic Fundi ambae haimbwi
Kweli MAKOLO akili zmewapungua .....Boko si mlimpa u captain it means ndo mchezaji kiongozKwani Boko ni tegemezi pale Simba? Simba ni Sakho na Chama. Sasa kama umeyahesabu ya federation Kwa mama yenu wakambo kwa nn kwa hippopotamus msiyahesabu? Au yale mawaili kwa Masau sio ya federation?