Je wajua missy elliot ana heshima za kutosha kwenye ulimwengu wa gospel music pia?

Je wajua missy elliot ana heshima za kutosha kwenye ulimwengu wa gospel music pia?

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
19,675
Reaction score
33,583
Hii ni kwa utafiti wangu mdogo kwa nguli huyu wa Hip hop lakini pia akiwa mtunzi na mtayarishaji maarufu wa Muziki bila kusahau ni DJ vile vile.

Binafsi sikujua huyu mwadada ameshiriki kuandika wimbo wa Natalie Wilson & S.O.P. Chorale unaoitwa Act Like You Know. Huu wimbo nimeupenda miaka mingi ingawa nilikuwa sijui hata jina la wasanii walioimba.

Hii nyimbo ni Gospel na ilitikisa sana hapa ktk television kubwa za mbele na hata night clubs kutokana na mahadhi yake.Hapa Bongo wengi tulianza kuusikia kupitia DJ mkongwe John Dilinga ambaye ndiye aliyeupa umaarufu mkubwa sana kwenye radio na club.

Missy Elliot ameshiriki katika wimbo unaoitwa
'I'm Not Perfect' - featuring The Vocal Queens of Gospel Music ambao ulifanya vizuri pia.Pia mwanadada huyu karibia kila album yake lazima aimbe Gospel Music walau wimbo mmoja!

Leo naomba niweke mashairi ya wimbo huu wa Act Like You Know wa Natalia Wilson ambao Missy Elliot ameshiriki sana kuuandika.Hata msanii wetu MwanaFA msemo wake wa Jifanye kama unajua umetokana na wimbo huu hapa chini.


Chorus:
If He's ever done anything for ya,
get on your feet and show what He's done.
Saying has He ever shown any love to ya,
you oughta go and spread love around.

Did He ever open any doors for ya,
you need to go and tell someone else
to have the faith that He's gonna do the rest for ya,
if you just believe that He can, can.

Verse 1:
Why y'all walking around with 'cha head hanging down and frowned,
when you know He owns and controls everything in town?
Stop all that crying like you don't know what to do,
get on your knees like your momma taught you to do.

Chorus

Verse 2:
Do you really think that you can make all by yourself,
if it's the case then there's something I'd like to tell you;
He created and He made me what I am,
if you believe in what I'm saying give Him a chance.

Chorus

Bridge:
Look up to the sky and you will realize
He's the one by your side.

Look up to the sky and you will realize
He's the one by your side

Rap:
Darkchild, you know who I be, the one who drop number ones consecutively,
and if you step to me first, come first served with the word,
whose word; Jesus Christ's, you heard.
Now holla, it's more to this than me making a dollar,
if God said stop then I wouldn't even bother
cause I'm a witness what God can do,
He took the wealth from the wicked and He gave it to my crew, true.

Now think about it where would you be,
where would you go, how would you live
what would you do without Christ, who would you know, oh.
Darkchild, S-O-P collabo and if you don't know, you better act like you know; come on.

That He loves you, what He can do.
He's waiting there, anytime, anywhere.

That He loves you, what He can do.
He's waiting there, anytime anywhere.

Chorus

Bridge
 
Back
Top Bottom