ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Kwahiyo kidimbwi ndio 0km kwa Dar?kitaalamu kilometa sifuri lazima isome kutoka usawa wa maji,,, kwa hapa Dar inasomwa kuanzia kwenye bahari
Ni pale posta. Uliza vizuriMbeya, Mnara wa Mashujaa
kweli ni pale round about ya Jamatini (Jamat Khan) Nyerere road /Dar-es-salaam rd karibu ya Nyerere square (Nyerere sq inakuwa mbali kidogo km nusu kilomitaMorogoro km 0 ni roundabout ya msamvu, Dodoma ni roundabout ya nyerere square.
Anha napita sana hayo maeneo kumbe ndio mashujaa wetu walizikwa hapo.Ule mnara katikati ya round about ndio Mnara wa Mashujaa. Pembeni ya Round about, mbele ya ofisi iliyokuwa ya RDD ndipo walipozikwa mashujaa waliopigana Vita kuu ya pili ya dunia
Clock tower posta.Round about ya Samora
Hapana, umechanganya mwiinuko (altitude) na umbali(distance)kitaalamu kilometa sifuri lazima isome kutoka usawa wa maji,,, kwa hapa Dar inasomwa kuanzia kwenye bahari
Toka posta Hadi mnara wa mashujaa Ni umbali gani?Ni pale posta. Uliza vizuri
Hahahaaa ilikua inaitwa roundabout ya Zuzu(Wakati huo Zuzu Ceremic ndo wanafadhili wamejenga Pambo lao la vigae jeupe limeandikwa Zuzu kwa maandishi ya kijani.Morogoro km 0 ni roundabout ya msamvu, Dodoma ni roundabout ya nyerere square.
Round about ya Samora