Je, wajua mkoa wako kilomita huwa zinaanza kuhesabiwa kutoka eneo lipi kuelekea kwingine?

Je, wajua mkoa wako kilomita huwa zinaanza kuhesabiwa kutoka eneo lipi kuelekea kwingine?

Morogoro km 0 ni roundabout ya msamvu, Dodoma ni roundabout ya nyerere square.
kweli ni pale round about ya Jamatini (Jamat Khan) Nyerere road /Dar-es-salaam rd karibu ya Nyerere square (Nyerere sq inakuwa mbali kidogo km nusu kilomita
 
Ule mnara katikati ya round about ndio Mnara wa Mashujaa. Pembeni ya Round about, mbele ya ofisi iliyokuwa ya RDD ndipo walipozikwa mashujaa waliopigana Vita kuu ya pili ya dunia
Anha napita sana hayo maeneo kumbe ndio mashujaa wetu walizikwa hapo.
 
Morogoro km 0 ni roundabout ya msamvu, Dodoma ni roundabout ya nyerere square.
Hahahaaa ilikua inaitwa roundabout ya Zuzu(Wakati huo Zuzu Ceremic ndo wanafadhili wamejenga Pambo lao la vigae jeupe limeandikwa Zuzu kwa maandishi ya kijani.

Sasa hivi hata kiwanda kishajifia. Ngoja nitafute picha ya Zamani
 
Back
Top Bottom