Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Mataga sasa hivi mnaanzisha thread za ajabu ajabu yaani ni kama mwenye msukule kafa sasa misukule haina wakuwatunza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je, wajua mkoa wako kilomita huwa zinaanza kuhesabiwa kutoka eneo lipi kuelekea kwingine?...umeelewa swali?Nyumbani kwangu kilometa zero ni chooni kwangu
Unapotupiaga pedi chafu liccm wewe.Nyumbani kwangu kilometa zero ni chooni kwangu
Kwa Dodoma zamani ilikuwa inaanzia POSTA.Lakini Sasa huanzia Round about ya BAHIROAD ambapo Kuna makutano ya barabarani 4,yaaniMorogoro km 0 ni roundabout ya msamvu, Dodoma ni roundabout ya nyerere square.
Unao uhakika wa unachodai? Barabara ya Morogoro inaanzia eneo la bandari inapokutana na Barbara ya Sokoine ambapo ni makao makuu ya jiji, hapo ndipo kilomita sifuri. Mnara wa askari ni kilomita za kwenda wapi, maktaba? Usipotoshe watu.Mnara wa Askari jina lingine panaitwa kilomita zero ndipo unapoanza kuhesabu kilomita kutoka Dar es Salaam kwenda mikoa mingine
Je, mkoani kwako huanzia wapi? Kilomita zero iko wapi?
HahaaaaKwa hapa Chatto ni nyumbani kwa Mheshimiwa
Zamani katkati ya mji ndipo palipokua panajengwa posta. Ila kwa mabadiliko yaliyotokana na maendeleo, baadhi ya miji ofisi za posta zimejengwa mpya kwenye maeneo mengine.Morogoro km 0 ni roundabout ya msamvu, Dodoma ni roundabout ya nyerere square.
Hapana SIO POSTA YA TAKUKURU NI POSTA YA MKOA KULE RAILWAYS.Halafu pale round about ya POSTA hapakuwahi kuwa na POSTA bali lile jengo la TAKUKURU WANANCHI waliliita POSTA ndo kuzaliwa jina la POSTAZamani katkati ya mji ndipo palipokua panajengwa posta. Ila kwa mabadiliko yaliyotokana na maendeleo, baadhi ya miji ofisi za posta zimejengwa mpya kwenye maeneo mengine.
Sasa bas, kwa zamani 0km ilikua inasoma posta.
Kwahyo ukiongelea Dodoma, 0km ni posta ya zamani ambayo sasahivi ni TAKUKURU
Posta ya Railway ni posta mpya.Hapana SIO POSTA YA TAKUKURU NI POSTA YA MKOA KULE RAILWAYS
Mmh pale palikiwa pori mkuu ni mwaka gani palikuwa na POSTA pale MkuuPosta ya Railway ni posta mpya.
Awali posta ilikua ilipo TAKUKURU sasa. Kwahyo center ya mji ilikua posta ya zamani. Soma sambamba na post yakwanza uliyoquote.
Bila shaka umezaliwa miaka ambayo hata story yakua posta ya zamani ni pale TAKUKURU haziongelewi tena.Mmh pale palikiwa pori mkuu ni mwaka gani palikuwa na POSTA pale Mkuu
Ndio maana nimeuliza mkuu Ni mwaka gani palikuwa na POSTA paleBila shaka umezaliwa miaka ambayo hata story yakua posta ya zamani ni pale TAKUKURU haziongelewi tena.
Uliza kwa wakubwa wanaokuzunguka physicallyN
Ndio maana nimeuliza mkuu Ni mwaka gani palikuwa na POSTA pale
Mkuu nimezaliwa na kukulia maeneo hayo hakukuw a na POSTA pale Bali palikuwa na kichaka na korongo stop koki kuu ya idara ya majiUliza kwa wakubwa wanaokuzunguka physically
Nimekwambia uliza kwa wakubwa wanaokuzungu.Mkuu nimezaliwa na kukulia maeneo hayo hakukuw a na POSTA pale Bali palikuwa na kichaka na korongo stop koki kuu ya idara ya maji