Je wajua mwanamke hana dini??

Je wajua mwanamke hana dini??

Mkuu na wewe jana ulistahili tuzo.

Una content nyingi sana sema issue inakuja vile unavoziachilia kuna kuwa na ukakasi mwingi mno wa kuzielewa. Na hisi na ugenius wako unachangia.
 
Mkuu na wewe jana ulistahili tuzo.

Una content nyingi sana sema issue inakuja vile unavoziachilia kuna kuwa na ukakasi mwingi mno wa kuzielewa. Na hisi na ugenius wako unachangia.
c2 mkuu ndio shidaaa

D2 uwezi elewa comment zangu

Jplili njema mpwaa tularibishane
 
Kama huamini subiri aoleweeew kamammkristo utajua anapoelekea

Kama msilamu utajua anapoelewa
Kwakweli hata mimi mwanzo nilikuwa sikuelewi sema kwa sasa nakuelewa maana nkiona uzi wako lazima nishtue kidgo ndio nakuelewa
 
Kama huamini subiri aoleweeew kamammkristo utajua anapoelekea

Kama msilamu utajua anapoelewa


Maneno ya mwanamke hana dini ni maneno ambayo yako kinyume na Uislam. Na mwanamke wa kiislam anapaswa kulelewa katika Dini yake na kushikamana na Dini yake kwa sababu ndio sababu ya kufaulu kwake duniani na akhera. Kwetu Waislam (ikiwemo wanawake) Dini ndio kila kitu.

Muislam usipoteze Dini kwa sababu ya ndoa, ni bora usioe/usiolewe kuliko kuritadi. Usipoteze Dini yako ya Uislam kwa sabab yoyote ile. Maisha ya Dunia ni mafupi na hayana thamani ya kuilinganisha na Dini ya Uislam.

Namuomba Allah anifishe katika Uislam. Allah atudumishe Waislam wote katika Dini hii tukufu na atufishe katika Tawheed na Sunnah. Aameen.
 
Back
Top Bottom