Je, Wajua, Naibu Spika, Chini ya "Bora Spika", Anaweza Kuwa "Spika Bora?". Dr. Tulia, "Ukitulia, Una Fursa ya Kuwa Spika Bora Sana!" Hongera Sana!

Ndugai alikuwa 'spika bora' kwa kuwa kibaraka wa awamu ya 5, ubora wa Tulia utatokana na namna atakavyoibeba 'awamu ya 6 (japo siyo ya 6 ila ni ya 5 kipindi cha pili).

Hata Marehemu Sitta (Mungu amrehemu) hakuwa bora (kwa maoni yangu) ila alitumia udhaifu na madhaifu ya serikali ya wakati huo kujijenga kisiasa....wakati mmoja alitumia bunge kuiadhibu serikali (rejea Richmond) na wakati mmoja alitumia bunge kuilinda serikali (rejea Zitto kusimamishwa kuhudhuria vikao kisa hoja ya Buzwagi au uendeshaji wa bunge la katiba)........hivyo bunge lilitumika kama jukwaa la wabunge kujiinua kisiasa ili wapendwe na wapiga kura au waonekana na watawala wapate uwaziri/unaibu waziri.

Kwa Ndugai ndio kabisa. bunge lilionekana kama tawi/sehemu ya serikali hata wenyeviti wa kamati waliteuliwa kwa ushawishi wa mhimili mwingine.

Tutapata spika bora siku tukipata katiba mpya itakayoibatilisha ndoa kati ya Serikali na bunge.
 

Uandishi wako unakosa sense of target "Hovyo"
 
Paskali niseme wazi sina muda wa kusoma ulichoandika kwa sasa kwakuwa ulishasema kama atapita tulia bunge na nchi itakuwa imepata "bora spika"
 
Tangu umeingia siasani, uandishi wako hauvutii tena kwangu sijui kwanini yaani Kaka mkubwa.
Alikuwa mwandishi mzuri sana Kabla ya utawala wa JPM. Nikiri nilijifunza mengi. Aliharibika wakati wa JPM, hafai tena. Sisomi tena makala zake. Nasoma michango ya wachangiaji. Mtoto si riziki tena.
 
Tangu umeingia siasani, uandishi wako hauvutii tena kwangu sijui kwanini yaani Kaka mkubwa.
Mkuu mtingi1 , kwanza pole sana, mimi ni binadamu, human beings are not static, they are dynamic and hence they change with time, place, environment na circumstances, zamani I was young, fearless, carefree and writing for the people ili kuwafurahisha watu na kuandika kile watu wanataka kusikia.

Now I'm old, mature, careful naandika only the truth kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa, kwa kuusema ukweli mchungu utakaolisaidia taifa bila kujali ukweli huo utamfurahisha nani au utamuudhi nani, as long as ni ukweli, nitausema ukweli huo jinsi ulivyo na sio ili kufurahisha watu!.
P
 
Ndugai alikuwa ni mtu wa JPM, hakufurukuta hata kidogo.

Dr Tulia ni mtu wa Samia na anaweza asifurukute hata kidogo.

Ndio siasa za Tanzania, ukiwa rais unakuwa na spika ambaye ni mtu wako ili utekelezaji wa masuala ya kiserikali usikutane na kupingwa pingwa.
 
na wewe ulieanzisha hii maada tunajua uliambulia kura moja tu ya wajumbe mwaka 2020, huenda nawe unaandika hizi mambo kwa manufaa yako, hii nchi daaah 😂😂
Mkuu sky soldier , sisi wana jf ni kama ndugu watoto wa familia moja, sio poa kuendelea kumsimanga ndugu yako wa familia moja!.

Baada ya kugombea nilirudi humu nimewaomba, msinibeze, msinicheke na msinisimange,
mbona sasa mnaendelea kunibeza na kunisimanga?.
This is not fair!.
P
 
Naibu Speaker ambae alikuwa anazuia ufisadi usijadiliwe Bungeni hawezi kuwa Speaker bora.
View attachment 2092504
Mkuu Behaviourist ,
two things, mtu anapokuwa Naibu chini ya mtu mwingine, atasema, na atatenda kwa niaba ya bosi wake, hivyo mambo yote ambayo Tulia alikuwa akiyafanya chini ya JYN alikuwa akifanya kwa niaba, it's a different now, she is the one!.
Ni kama Samia chini ya JPM na Samia huyu wa sasa, Tanzania is hundreds times better.

Pili, people changes, watu wana change, wanabadilika. Hivyo Lets give her the benefits of doubt kuwa sasa ndio tutamuona Tulia Tulia na yule Tulia-Ndugai!.
P
 
My only worry, if you start hearing voices from within, see a psychiatrist immediately!!
 
Hakuna mtu anazaliwa mkubwa, kila mtu anazaliwa akiwa mtoto mchanga and start to grow little by little hadi anakuwa mkubwa, sasa katika makuzi, there are times mtu anapitia foolish age, there are times anapitia those turbulence teen age na kufanya mambo ya ajabu, mwisho ana mature na kutulia. Tulia ameingia siasa ukubwani, hivyo ule utoto wa ule uchuro wa jeneza, she was a kid in politics, and that was foolish age, now she is grown up, more mature, hawezi tena kufanya ujinga kama ule. Tumpe kila aina ya ushirikiano, ili aweze kuwa Spika Bora.
P
 
Huna jipya
 
Hapo ni bora liende. Historia itatuhukumu. Tunachokifanya na kukipitia kama nchi ni kama wote walioomo ni wale wale tu. Yanasikitisha sana
 
Don't be a pessimistic person with pessimisim, be an optimistic person with optimisim that she can make one of the best speakers Tanzania had ever have!.

P
 
Don't be a pessimistic person with pessimisim, be an optimistic person with optimisim that she can make one of the best speakers Tanzania had ever have!.

P
Inaitwa agree to disagree, vinginevyo mkuu P inakuwa kama unataka kuitwa chawa!

She isn't cut out to be madam Speaker, Ila kwa upungufu wa watendaji huko Lumumba. Ni kama imebidi tu apewe yeye, maana CCM wamerecycle weeeh badala ya kutafuta vijana na kuwajengea uwezo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…