Je, Wajua, Naibu Spika, Chini ya "Bora Spika", Anaweza Kuwa "Spika Bora?". Dr. Tulia, "Ukitulia, Una Fursa ya Kuwa Spika Bora Sana!" Hongera Sana!

Itakuwa huyu Madam Speaker elect (party-wise) alifuatwa na kutakwa atoe statement yake kuhusu guyuguzo alilopitia Mstaafu JYN ili wenye chama chao waamue iwapo wafagiliwe wote ama apromotiwe.

Sidhani kama 2025 itafika, according to Mstaafu JYN, before hii nchi IPIGWE MNADA WA BEI YA KUTUPA!
 
Ndugai anavyowanga hamuachi usishangae mtu sauti ikayeyuka ghafla

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu jopo..... la watu wa ovyo,ovyo inazalisha viongozi wa ovyo , ovyo.wasiyo na msimamo yoyote kiutendaji!
Ili waendelee kufanya mambo ya ovyo ovyo....
 
Yeye alitamka hayo akijua kwamba alichokisema ndicho kinachotafsirika kwa mujibu wa katiba iliyopo sasa, sasa hapo alikosea nini ?
 
Sijui kwann? Nina imani kubwa Sana na Tulia
Mkuu Kajabila , asante sana, wewe una roho wa Mungu ndani yako, kwasababu Tulia ni chaguo la Mungu kwa uspika wa Tanzania.
Angalia tarehe ya bandiko hili
Mwacheni Mungu aitwe Mungu!.
P
 
Paskali mada nzuri ila na penda kukumbusha haikuwa Rahisi... Na haitokuwa Rahisi kwa kazi iliopo mbele yake. Mengi uta andika mengi utasikia ila Macho yake ayaweke kwa Mungu kuna kazi ngumu mbele ambayo akili ya mwanadam haiwezi kuleta majibu... Anahitaji kukesha na kuomba na kamwe asifurahie hiyo nafasi bali amuombe Mungu amuongoze. Asante
 
Mkuu jopo..... la watu wa ovyo,ovyo inazalisha viongozi wa ovyo , ovyo.wasiyo na msimamo yoyote kiutendaji!
Ili waendelee kufanya mambo ya ovyo ovyo....
Absolutely right!
We will always get what we have always gotten because we keep doing what have always done!
Hakuna mabadiliko!
Tuna recycle, out of the recycle bin lazima apatikane mtu!
 
Ni kweli kabisa kwamba Nabii huwa hakubaliki kwao !! Sijui ni kwanini !!!
 
Mkuu TumainiEl , kwanza asante kwa mchango huu, wewe unaonekana wewe ni muumini mwenye hofu ya Mungu, hivyo tukiisha kukubaliana yale ya msingi, then mengine yote yana fall a long the line.
1. Tuanze na hoja ya kujiuzulu kwa JYN ni mpango wa Mungu kwa Tanzania ili kutuondolea Bora Spika na kutupatia Spika Bora.
Ref: Kujiuzulu kwa Ndugai ni Mpango wa Mungu kwa Tanzania ili Tupate Spika Bora. Je CCM Ituteulia Spika Bora, au Bora Spika Kama Kawa?. Isipo...Karma Ita..
2. Kati ya hao 70 waliojitokeza kugombea kupitia CCM, Dr. Tulia was not among the very best kutupatia Spika Bora, she belonged to the Bora Spika group!.
Ref: Wajue the Top 10 wa CCM watakaotoa, the top 5, top 3 na the best Spika. Angalizo, si lazima the best ndiye awe Spika, bali the chosen one!
3. Tukawaomba CCM watuteulie Spika Bora, Based on 2 above, kitendo cha Dr. Tulia, kuwabwaga wote tena wengine ni mijanamume shababi kweli kweli!, ni uthibitisho kuwa kuna mkono wa Mungu kwenye uteuzi wa Tulia, hivyo hili ni chaguo la Mungu kwa uspika wa Tanzania.
Ref:Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...
4. Hivyo maadam ni Mungu ndiye amepanga, na ndiye aliyepanga Spika wetu awe Tulia, then Mungu anasimamia the rest kwa kumfanya awe Spika Bora. Tulia anachohitaji kufanya ni jambo moja tuu, "Kumtegemea YEYE amtiaye nguvu".

P.
 
Ndugai alikuwa Naibu Supika wa Makinda! Sasa sijajua kwa mtazamo wako Makinda alikuwa Supika Bora ndiyo maana Ndugai alikuwa "Bora Supika"? Marehemu Sitta alikuwa Supika Bora na Naibu wake Makinda alikuwa Supika Bora ingawa hakumfikia Sitta.
Mimi nafikiri Ubora wa Supika unategemeana na Mtawala yupi! Kwa utawala wa Mwendazake ambao ulikuwa wa kidikteta na ambao haukuwa tayari kukosolewa ni lazima Supika wa wakati huo aonekane ''Bora Supika"! Marehemu Sitta na Makinda walionekana Masupika Bora kwa sababu utawala wa JMK angalau ulijali Demokrasia na uhuru wa kutoa mawazo.
Anyway,Labda kwa kuwa Bunge la sasa ni Bunge la Chama kimoja ambalo haliwezi kuisimamia Serikali au kuikosoa! Maana kazi yao itakuwa kupiga madawati kuunga mkono hata miswaada ya kijinga ya serikali ataonekana "Supika Bora"! Lakini kama Bunge lingekuwa Mseto kama Bunge la 9 na 10 ungerudi kuandika makala nyingine.
 
Asante mkuu kuanzia leo ntakuwa nakufuatilia sana kwa ukaribu unabii wako
 

Nabii Mayalla, the only way (which unfortunately is also least likely to occur) kwa huyu mtu kuwa Speaker Bora ni yeye kuwa willing kuwa a one-term Speaker (kama Marehemu Speaker Sitta). Otherwise, mchakato wa upatikanaji wa Speaker ulivyo sasa katu hauruhusu Speaker kuwa Speaker Bora.

Kwa hili, na mimi naweza kuwa on track kuwa nabii mwenzako!
 
Uko sahihi kabisa!
Ukianzia na namna wanavyopata ubunge, ni komedi tupu!
Hilo la single term speaker nakuunga mkono!
 
It is a miracle to have a good driver in a faulty vehicle. She will never be different from Ndugai; otherwise the system will reject her.
 
Hicho kimanzi kwanza tangu kimeanza harakati zake kwa kujipendekeza kwa Chui Jike, halafu unategemea she can make a good speaker, how on earth can that miracle happen ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa kabisa mkuu. "it is matumbo war in offing".
 
Ahsante kaka yangu Paskali,

Nimeelewa uchambuzi wako wa kina, huwa najiuliza huwa tunataka Bunge liwe na spika bora ili lifanyaje?

Ukiacha kazi za Bunge za kutunga sheria, kusimamia serikali na mengineyo.

Wewe kama muandishi wa habari mbobevu kwenye mambo ya kisiasa unadhani kwa mfumo huu wa uliopo sasa unaweza kuwa ''spika bora''.

Zingatia;

1. Mbunge anategemea kuungwa mkono na Chama ili kupata nafasi ya Ubunge

2. Chama kinaweza kumfukuza Uanachama mbunge na hivyo kupoteza sifa za kuwa mbunge; hii inamfanya mbunge kuwa mwaminifu kwa chama kuliko matakwa ya Bunge katika kusimamia serikali

3. Spika anapitishwa na chama kupata nafasi ya kuwa Spika, unamuona spika akiibana serikali inayoongozwa na mwenyekiti ambaye ana nafasi kubwa ya kuamua hatma yake katika Ubunge na nafasi ya serikali..?

Kila la kheri kwa Spika ajaye, spika bora anaweza kupatikana lakini sio katika mtazamo wa kuisimamia serikali kwa kiwango kikubwa.
 
Hiyo shame yako iende kwa huyu Rais fisadi ambae anahamasisha ufisadi kwenye Serikali yake bila aibu tena kupitia TV ya Taifa๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’View attachment 2092519
Itโ€™s interesting for people to expect different results from the same people who empowered Ndugai!!
Tulia ametoka kwenye kapu lile lile alikotokea Ndugai,Kwanini mtegemee awe tofauti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ