Je, Wajua, Naibu Spika, Chini ya "Bora Spika", Anaweza Kuwa "Spika Bora?". Dr. Tulia, "Ukitulia, Una Fursa ya Kuwa Spika Bora Sana!" Hongera Sana!

Je, Wajua, Naibu Spika, Chini ya "Bora Spika", Anaweza Kuwa "Spika Bora?". Dr. Tulia, "Ukitulia, Una Fursa ya Kuwa Spika Bora Sana!" Hongera Sana!

Kwa katiba ya nchi hii ni vigumu sana kumpata spika bora. Spika bora ni yule ambaye atakua strong kuongoza kwa haki bila kujali tabaka la watawala au watawaliwa.
 
Mkuu mtingi1 , kwanza pole sana, mimi ni binadamu, human beings are not static, they are dynamic and hence they change with time, place, environment na circumstances, zamani I was young, fearless, carefree and writing for the people ili kuwafurahisha watu na kuandika kile watu wanataka kusikia.

Now I'm old, mature, careful naandika only the truth kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa, kwa kuusema ukweli mchungu utakaolisaidia taifa bila kujali ukweli huo utamfurahisha nani au utamuudhi nani, as long as ni ukweli, nitausema ukweli huo jinsi ulivyo na sio ili kufurahisha watu!.
P
Tukutane kwenye kikao cha kamati ya maadili, nina bahasha yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,
mteule wa CCM akiisha teuliwa na chama cha Mapinduzi, CCM, huyo ndie Spika, Dr. Tulia Akson,

tunaahidi kumpatia kila aina ya Ushirikiano Spika Mpya Dr. Tulia Akson ili aweze kuwa Spika Bora.
Hongera sana, Spika wetu mpya, Dr. Tulia Akson Mwansasu
Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali.
Bwana paschali
Kwa sasa hoja kuu ni namna gani tunampata speaker mpya wa bunge.
Mkuu uchumi2018, wewe uko karne ipi?, la Spika limeishapita, Spika ni Dr. Tulia Akson Mwamsasu, kinachosubiriwa sasa ni kukamilisha tuu taratibu!.
P
 
kauli hii aliitoa huyo Tulia mbele ya Rais siku chache baada ya nafasi ya uspika kuwa wazi..

"""Rais wa Jamhuri wa muungano wa Tanzania, mheshimiwa Samia Suluhu Hassan sio tu kiongozi wa Serikali lakini ni mkuu wa nchi kwa hiyo yeye uongozi wake hauko sawasawa yeyote wa mhimili wowote ulioko hapa nchini""""

Tulia kacheza kete zake kwajili ya manufaa yake, hio kauli pasi nashaka ilikuwa ya kumsifu na kumuabudu rais wazi wazi kwamba hata uraisi upo juu ya mihimili yote hata bunge na mahakama.

Kwa ufupi anaenda kuwa spika asie na uhuru wala uaminifu wa kuendesha bunge kama mhimili unaojutegemea.

Ila na wewe ulieanzisha hii maada na wewe tunajua uliambulia kura moja tu ya wajumbe mwaka 2020, huenda nawe unaandika hizi mambo kwa manufaa yako 2025, hii nchi daaah 😂😂
Kwa hiyo ulitaka akudanganye kuwa mihimili iko sawa
Kwa nini wabongo tunapendwa kudanganywa sana tukiambiwa ukweli mchungu tunanuna. JPM aliposema kuna mhimili uliojichimbia tukasema udikteta na ubabe kumbe ndio ukweli.

Kimsingi hio ndio ukweli.
Kikatiba bunge linasehemu 2
1 Bunge na
2 Rais
Yaani mbali ya Urais wake pia yeye ni nusu ya bunge sasa hapo watakuwaje sawa?
 
Tz ilipita kwenye janga kubwa sana ktk awamu ile, alipoingia mama watu tulipumua lakini kwa binti Ackson kuwa sabufa hili nalo ni janga jipya
 
Wanabodi,
Hii ni Nipashe ya Leo 23/01/2022

View attachment 2092447
hivyo lets give her a benefit of doubt kuwa Tulia akitulia, kama lilivyo jina lake, ana fursa na anaweza kabisa kuwa Spika Bora.

Pili tuahidi kumpatia kila aina ya Ushirikiano Spika Mpya Dr. Tulia Akson ili aweze kuwa Spika Bora.
Hongera sana, Spika wetu mpya, Dr. Tulia Akson Mwansasu
Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali.
Wewe KILA mtu anayetuliwa unamsifia na kumpamba! Unalenga kufanikisha nini?
Mkuu Yoda, jee ulifanikiwa kusoma pongezi zangu kwenye uteuzi huu?.
P
 
Kwa hiyo ulitaka akudanganye kuwa mihimili iko sawa
Kwa nini wabongo tunapendwa kudanganywa sana tukiambiwa ukweli mchungu tunanuna. JPM aliposema kuna mhimili uliojichimbia tukasema udikteta na ubabe kumbe ndio ukweli.

Kimsingi hio ndio ukweli.
Kikatiba bunge linasehemu 2
1 Bunge na
2 Rais
Yaani mbali ya Urais wake pia yeye ni nusu ya bunge sasa hapo watakuwaje sawa?
Ndio maana katiba mpya kutenganisha hii mihimili inahatajika sana.
 
Nchi hii kwa vituko haijambo

Pscal Mayala mleta mada ambaye alipata kura moja tu na kura za maoni za ubunge ndani ya CCM na kushika nafasi ya mwisho hicho kinyanganyiro akakosa kuteuliwa kugombea ubunge leo kajigeuza kuwa profesa wa kufundisha Spika wa bunge anatakiwa aweje!!!!!! Ubunge tu ngazi tu ya kura za maoni ulimshinda !!! Leo kajigeuza Profesa wa kueleza Tulia Spika wa bunge zima anatakiwa aweje aiseeeeee!!!

Nchi hii kuendelea safari ndefu
 
Mkuu mtingi1 , kwanza pole sana, mimi ni binadamu, human beings are not static, they are dynamic and hence they change with time, place, environment na circumstances, zamani I was young, fearless, carefree and writing for the people ili kuwafurahisha watu na kuandika kile watu wanataka kusikia.

Now I'm old, mature, careful naandika only the truth kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa, kwa kuusema ukweli mchungu utakaolisaidia taifa bila kujali ukweli huo utamfurahisha nani au utamuudhi nani, as long as ni ukweli, nitausema ukweli huo jinsi ulivyo na sio ili kufurahisha watu!.
P

Sawa kaka, with age comes wisdom
 
Wanabodi,

Pili tuahidi kumpatia kila aina ya Ushirikiano Spika Mpya Dr. Tulia Akson ili aweze kuwa Spika Bora.
Hongera sana, Spika wetu mpya, Dr. Tulia Akson Mwansasu
Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali.
Wanabodi,

Moja ya kazi za Bunge ni Kuisimamia serikali. Bunge la Mhe. Job Ndugai, lilituhumiwa kuwa ni Bunge dhaifu kuwahi kutokea, hivyo Spika Job Ndugai kuhesabika ni Spika dhaifu kabisa kuwahi kutokea, hivyo kupachikwa jina la "Bora Spika" Kwa kuanzia mimi niliisikia sauti hii Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...

Job Ndugai alipojiuzulu tukasema Kujiuzulu kwa Ndugai ni mpango wa Mungu kwa Tanzania ili tupate Spika Bora. CCM itateua Spika Bora au Bora Spika kama kawa?

Kwa vile Dr. Tulia alikuwa ni Naibu Spika wa Spika dhaifu, alipochaguliwa kuwa Spika, kuna watu walidhani Bunge la Tulia litakuwa ni Bunge Dhaifu kama Bunge la Ndugai.

Nilitoa ushauri huu Je, Wajua, Naibu Spika, Chini ya "Bora Spika", Anaweza Kuwa "Spika Bora?". Dr. Tulia, "Ukitulia, Una Fursa ya Kuwa Spika Bora Sana!" Hongera Sana!

Sasa hiki ndio kinatokea Leo,

Bunge la Dr. Tulia, sasa limeanza kuisimamia Serikali kiukweli ukweli!, leo limesimamisha shughuli zake zote kujadili hoja ya dharura ya Mhe. Omari Kigua, kujadili kupanda kwa bei ya mafuta ya petrol na dizeli.​

Hongera Sana Spika Tulia, Bunge sasa linaisimamia serikali

Keep Watching Bunge Live

na Kazi iendelee!

Paskali.
 
Wanabodi,
Hii ni Nipashe ya Leo 23/01/2022

View attachment 2092447

Pili tuahidi kumpatia kila aina ya Ushirikiano Spika Mpya Dr. Tulia Akson ili aweze kuwa Spika Bora.
Hongera sana, Spika wetu mpya, Dr. Tulia Akson Mwansasu
Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali.
Spika Dr Tulia Akson leo amethibitisha uwezo, she is the best!.
P.
 
Wanabodi,

Wiki iliyopita nilisema Spika aliyetangulia hakuwa Spika Bora, bali alikuwa ni Bora Spika, hivyo ikitegemewa Naibu wake Dr. Tulia Akson pia atakuwa ni Bora Spika kwa kufuatia ile kanuni ya uwajibikaji wa pamoja ( a collective responsibilities), kwa makosa yote ya Bunge la JYN na naibu Spika Tulia, hivyo kati ya watu 70 waliogombea uspika kupitia CCM, miongoni mwao kuna watu mule wangetupatia Spika Bora kuliko Dr. Tulia, ila kwa vile aliyepitishwa na CCM ni Dr. Tulia, hivyo sasa Dr. Tulia Akson ndie Spika wetu.

Hii maana yake, ile sauti niliyoisikia hapa, Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini... ilikuwa ni sauti ya Mungu
Dr. Tulia Akson ndiye mpango wa Mungu kuwa Spika mpya wa Bunge la JMT.

Lakini kama ilivyo kwa JPM na Samia, JPM was JPM na Samia ame prove She is Samia, hivyo lets give her a benefit of doubt kuwa Tulia akitulia, kama lilivyo jina lake, ana fursa na anaweza kabisa kuwa Spika Bora.

Pili tuahidi kumpatia kila aina ya Ushirikiano Spika Mpya Dr. Tulia Akson ili aweze kuwa Spika Bora.
Hongera sana, Spika wetu mpya, Dr. Tulia Akson Mwansasu
Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali.
Baada ya kumsikia Spika Tulia Bungeni Leo, kwa jinsi alivyo mdhibiti Mbunge wa Simanjiro, Mhe. Christopher Ole Sendeka kwenye issue ya Ngorongoro,

I'm now convinced, Spika Tulia would made the second best Speaker baada ya Sitta.

Na kwa sababu both are lawyers nashauri kuanzia sasa, Spika wa Bunge la JMT lazima awe ni mbobezi wa sheria!.
P
 
Uongo wa kauli ya Spika uko wapi hapo?
kauli hii aliitoa huyo Tulia mbele ya Rais siku chache baada ya nafasi ya uspika kuwa wazi..

"""Rais wa Jamhuri wa muungano wa Tanzania, mheshimiwa Samia Suluhu Hassan sio tu kiongozi wa Serikali lakini ni mkuu wa nchi kwa hiyo yeye uongozi wake hauko sawasawa yeyote wa mhimili wowote ulioko hapa nchini""""

Tulia kacheza kete zake kwajili ya manufaa yake, hio kauli pasi nashaka ilikuwa ya kumsifu na kumuabudu rais wazi wazi kwamba hata uraisi upo juu ya mihimili yote hata bunge na mahakama.

Kwa ufupi anaenda kuwa spika asie na uhuru wala uaminifu wa kuendesha bunge kama mhimili unaojutegemea.

Ila na wewe ulieanzisha hii maada na wewe tunajua uliambulia kura moja tu ya wajumbe mwaka 2020, huenda nawe unaandika hizi mambo kwa manufaa yako 2025, hii nchi daaah 😂😂
 
Baada ya kumsikia Spika Tulia Bungeni Leo, kwa jinsi alivyo mdhibiti Mbunge wa Simanjiro, Mhe. Christopher Ole Sendeka kwenye issue ya Ngorongoro,

I'm now convinced, Spika Tulia would made the second best Speaker baada ya Sitta.

Na kwa sababu both are lawyers nashauri kuanzia sasa, Spika wa Bunge la JMT lazima awe ni mbobezi wa sheria!.
P

Sendeka kabanwa kama mjusi!
 
Back
Top Bottom