bush crazy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 767
- 1,083
naombeni majibu ya maswali yafuatayo jaman;
i) kuku wakienyeji anaweza taga bila jogoo?
ii) pia kuku wa kienyeji akipandwa na jogoo watano tofauti kuna uwezekano kila jogoo akawa na kifaranga chenye vinasaba vyake
iii) je kuku huyu akianza kutaga kabla hajaatamia mayai jogoo aliyekuwepo akauzwa au kuchinjwa inawezekana huyu kuku kutotoa!