Je, wajua namna kuku hutaga mayai yake?

Je, wajua namna kuku hutaga mayai yake?

bush crazy

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
767
Reaction score
1,083
naombeni majibu ya maswali yafuatayo jaman;
i) kuku wakienyeji anaweza taga bila jogoo?
ii) pia kuku wa kienyeji akipandwa na jogoo watano tofauti kuna uwezekano kila jogoo akawa na kifaranga chenye vinasaba vyake
iii) je kuku huyu akianza kutaga kabla hajaatamia mayai jogoo aliyekuwepo akauzwa au kuchinjwa inawezekana huyu kuku kutotoa!
 
Ngoja wavulana wa mikoani waje, sisi kuku tunawaona kwenye fridge wakiwa kwenye mifuko
 
1. Kuku hutaga mayai bila hata ya kutegemea jogoo,ila kama unataka upate mayai ya vifaranga hapo Jogoo lazima ausike kwa ajiri ya fertilization.ila kuku jike hategemei jogoo kutaga

Wataalumu watajazia zaidi
 
Kuna kuku wangu mmoja mkuu nilimtoa singida aisee mshsnzi sana,sijui alishapandwa nilikomtoa alitaga mayai 16 cha ajabu aliyaatamia zaidi ya siku za kawaida.

Badae nikashtuka mbona kuna yaliyotobolewa na hayana kitu kwenda kuyatoa yote ndani ule ute umeganda nakuwa mweupe yai jepesiii mengine maviza 😂😂
 
Singida ndivyo walivyo hawajaanza leo!
 
Back
Top Bottom