bush crazy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 767
- 1,083
Kuna kuku wangu mmoja mkuu nilimtoa singida aisee mshsnzi sana,sijui alishapandwa nilikomtoa alitaga mayai 16 cha ajabu aliyaatamia zaidi ya siku za kawaida.1. Kuku hutaga mayai bila hata ya kutegemea jogoo,ila kama unataka upate mayai ya vifaranga hapo Jogoo lazima ausike kwa ajiri ya fertilization.ila kuku jike hategemei jogoo kutaga
Wataalumu watajazia zaidi
Singida ndivyo walivyo hawajaanza leo!Kuna kuku wangu mmoja mkuu nilimtoa singida aisee mshsnzi sana,sijui alishapandwa nilikomtoa alitaga mayai 16 cha ajabu aliyaatamia zaidi ya siku za kawaida.
Badae nikashtuka mbona kuna yaliyotobolewa na hayana kitu kwenda kuyatoa yote ndani ule ute umeganda nakuwa mweupe yai jepesiii mengine maviza ππ