Je wajua: Ngushi na nkane Wana CAF medal ila Chama ana medal ya ngao ya jamii

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Kinachowauma Mashabiki wa Simba ni kwamba Ngushi na Johora Wana [emoji966] medali ya CAF halafu chama Ana medali ya ngao ya jamii kweli ma gap hayataisha[emoji28][emoji120]

Ukitaka Kujuaa Ugumu Wa Kupata Medali Ya CAF Waulize Simba Watakwambia [emoji23]
 
Medali bila kombe ni kama shanga za bi mkubwa wako Hazina maana kwenye mpira .Hivi umewahi kusikia timu fulani ina medali ngapi?Bwana mdogo jaribu kukua najua ni hormones za kubalehe zinakusumbua.
Sasa medali si kama bwana harusi kuweka utepe kwamba huyu ndo bibi harusi wangu niliyemla siku hii ndo wanakupa medali za sillver kama ukumbusho😄😄😃
Zinaandikwa na mwaka kabisa ili kuepuka matapeli na rekodi inawekwa kwenye vitabu kwamba mwaka flani Dar young Africans ndo alikua kubwa la mabibi harusi na aliliwa na bwana Usm Alger
Na mtoto (kombe) huwa napiga picha na baba yake akiwa amembeba mama anaachwa apumzike🤣😀😃😃😃
 
Medali bila kombe ni kama shanga za bi mkubwa wako Hazina maana kwenye mpira .Hivi umewahi kusikia timu fulani ina medali ngapi?Bwana mdogo jaribu kukua najua ni hormones za kubalehe zinakusumbua.
Hajazungumzia mafanikio ya timu.
Kazungumzia mafanikio ya mchezaji binafsi. Hata akina Lionel Messi na Cristiano Ronaldo huwa wanapiga picha na medali zao shingoni. Lete picha ya Chama na medali ya CAF[emoji3][emoji3]
 
Mada zingine, ni za kipuuzi tu! Na inawezekana, waleta mada za namna hii, ni vitoto vidogo, na havitafuti historia mbali mbali. Hivi, C7 na Messi wanaweza kumdharau Ronaldo De Lima eti tu kwa vile hajawahi kuvaa medali ya UEFA CL?
 
Fupisha maelezo

Weka picha ya chama ile picha ya Kisinda
 
Jamaa wanajifariji kwa medali ya losers.Huu ujinga wa kujilinganisha Simba ipo pot ipi kwenye CAF Champions League na Utopolo ipo pot ipi?Na kwanini zipo pot tofauti?
Weka picha

Tantalila za nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…