Je wajua: Ngushi na nkane Wana CAF medal ila Chama ana medal ya ngao ya jamii

Je wajua: Ngushi na nkane Wana CAF medal ila Chama ana medal ya ngao ya jamii

Mada zingine, ni za kipuuzi tu! Na inawezekana, waleta mada za namna hii, ni vitoto vidogo, na havitafuti historia mbali mbali. Hivi, C7 na Messi wanaweza kumdharau Ronaldo De Lima eti tu kwa vile hajawahi kuvaa medali ya UEFA CL?
Lakini hata huyo De Lima huwezi kumkuta anawadharau CR7 na Messi kwa kutwaa medali ya kombe fulani ambalo hata yeye alipambania akalikosa
 
Back
Top Bottom