Alikuwa hajazaliwa huyo kinuka mkojo.Medali wanazo hadi wakongwe kina Mwameja na Masatu, enzi hizo wee ulikuwa bado unaelea
Tunaataka ya ChamaAlikuwa hajazaliwa huyo kinuka mkojo.
Mna mipira lakini medali za caf hakuna.Hakuna mchezaji wa Yanga amewahi kugusa mipira brand ya Macron wakati hiyo mipira imejaa pale Bunju Arena
Lakini hata huyo De Lima huwezi kumkuta anawadharau CR7 na Messi kwa kutwaa medali ya kombe fulani ambalo hata yeye alipambania akalikosaMada zingine, ni za kipuuzi tu! Na inawezekana, waleta mada za namna hii, ni vitoto vidogo, na havitafuti historia mbali mbali. Hivi, C7 na Messi wanaweza kumdharau Ronaldo De Lima eti tu kwa vile hajawahi kuvaa medali ya UEFA CL?