Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Kweli, nikisubiri ataje hao wenye sumu ni wapi na Tanzania wanapatikana wapi. Wanang'ata katika hali gani na je sumu yao ina tiba. Rudi udadavue somo ili tuelewe.Kiongozi, mbona kama umeishia njiani?
Imeisha hiyo, wengi wanaokufa wanakufa kwa pressure wakidhani kila nyoka ana sumu ya kuweza kuua. Ukiumwa na nyoka relax, kunywa maji endelea kuangalia mpira.Kiongozi, mbona kama umeishia njiani?
😳 Aise. Ni nyoka yupi akining’ata sitakiwi kurelax?Imeisha hiyo, wengi wanaokufa wanakufa kwa pressure wakidhani kila nyoka ana sumu ya kuweza kuua. Ukiumwa na nyoka relax, kunywa maji endelea kuangalia mpira
Ujasiri huu unapata wapi mzee.Imeisha hiyo, wengi wanaokufa wanakufa kwa pressure wakidhani kila nyoka ana sumu ya kuweza kuua. Ukiumwa na nyoka relax, kunywa maji endelea kuangalia mpira
Koboko the Black MambaKuna mmoja huyo usiombe narudia tena usiombe kukutana naye?
Hivi unadhani ni yupi huyu?
Weeeeee thubutu labda kama nimechoka kula ugali.Imeisha hiyo, wengi wanaokufa wanakufa kwa pressure wakidhani kila nyoka ana sumu ya kuweza kuua. Ukiumwa na nyoka relax, kunywa maji endelea kuangalia mpira
NaaamKoboko the Black Mamba
Hata wanaoumwa na nyuki huwa ni presha tu,nyuki hana sumuImeisha hiyo, wengi wanaokufa wanakufa kwa pressure wakidhani kila nyoka ana sumu ya kuweza kuua. Ukiumwa na nyoka relax, kunywa maji endelea kuangalia mpira
Mkuu wamaanisha nyuki huyu huyu tumjuae ama ni aina mpya ya Nyuki mwaka juzi tu hapa nimezika ndugu yangu kisa Nyuki ma wewe hapa wasema nini nikuelewe.Hata wanaoumwa na nyuki huwa ni presha tu,nyuki hana sumu