Je wajua, ni 7% ya nyoka ndio wana sumu inayoweza kuua binadamu?

Changamoto ipo kwenye kufahamu ni yupi amekugonga, mwenye kuua au la. Pia, kutokana na sababu za kiikolojia, unaweza kukuta eneo fulani likawa na sehemu kubwa ya hao wenye kuua kuliko sehemu nyingine au kinyume chake. Kwahiyo, bado hofu dhidi ya nyoka itaendelea kuwepo kutokana na changamoto hizi.
 
Imeisha hiyo, wengi wanaokufa wanakufa kwa pressure wakidhani kila nyoka ana sumu ya kuweza kuua. Ukiumwa na nyoka relax, kunywa maji endelea kuangalia mpira
Kitaalamu ukiumwa na nyoka jitahidi ujue ni aina gani ya nyoka kakuuma, mara nyingi nyoka wanauma eneo la chini yaani miguuni hivyo kama una kiwembe jichanje haraka eneo la juu kidogo damu itoke funga kamba na ubane sana tafuta msaada ufike hospitali. Nyoka wengi wa maeneo ya kitropic kwa hapa TZ wana sumu hivyo inayoweza kusambaa mwilini na kukuua kama hutafanya jitihada kujiokoa........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…