Je, wajua ni marufuku kuhamia nyumba mpya bila kibali cha Manispaa?

Tunapokuwa tunalipa kodi huwa wanasemaje, wanagawana na wenye nyumba au wameamua tu kuwa na roho za korosho huko maofisini? Watu wakipata ajira hujiona kama wapo mbinguni..jeuri nyingi. Watumie akili zao vizuri wasitukwaze mitaani
 
Habari wadau,

Kama ulikuwa haujui leo ndio nakujulisha kwamba pindi unapomaliza kujenga nyumba yako ili uweze kuhamia unaitaji kibali toka Halmashauri husika kinaitwa "Certificate of Occupation"
JamiiForums2036907036.jpg
 
Dawa ni moja tu ...unahama usiku kwa usiku hapo unaokoa mengi
Madeni mtaani
Kodi kama unadaiwa
Traffic wasumbufu
Tozo na ada ya kuhama
Bili za maji, umeme na takangumu

Yaani siku kuhama bongo ni kama kusafirisha mzigo wa magendo[emoji23]
 
Ndio utaratibu huo mkuu. Ila bongo nyoso sana. Sheria hazifuatwi sababu ya hali duni ya watu wengi.

Tunajenga bila vibali wala michoro. Tunahamia kwenye makazi mapya hata kama hakujakamilika ili kukimbia kodi.

Ila Certificate of Occupancy ina faida nyingi sana kwani hutolewa baada ya kujiridhisha kuwa nyumba inafaa kwa kuishi na imekidhi matakwa ya kiusalama yote.

Na kama ni public building basi ni lazima pia upate na fire safety Certificate. Very important.
 
Wanakaguaga kweli au wanakuja 'mnaelewana tu'? Mjini pagumu. I remember kuna rafiki yangu alikua anaomba kibali 'file likapotea' kumbe ana mshkaji on the inside akakuta lipo chini ya meza watu wamewekea miguu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Duuuh Majanga ,Kibali cha ujenzi wanatoa cha nini? Unajend ili uje kufanyia nini? Si wanatoa Miaka mi3 kumaliza tangu upewe kibali?
 
Dawa ni moja tu ...unahama usiku kwa usiku hapo unaokoa mengi
Madeni mtaani
Kodi kama unadaiwa
Traffic wasumbufu
Tozo na ada ya kuhama
Bili za maji, umeme na takangumu

Yaani siku kuhama bongo ni kama kusafirisha mzigo wa magendo[emoji23]

Mie nilihamisha kimoja kimoja enzi hizo nguo unaeka kwenye mfuko wa ramboooo

Halafu nkawa kila ijumaa jioni naingia geto nakaangaaa KtMoto hahaaaaa nalaaa, jmosi nzima nakuwa nasafisha mazingira, majirani wakajua ni kibarua/mlinzi

Muda ukaenda badae nyumba ikajaa vitu na mimi nkazoeaaa....hata wale jamaa wanaokaribisha wahamiaji wapyaaa hawakuelewa somo, sikuwaonaa kamwe
 
Dawa ya kuhama na moja wakat serikali imelala tuuu ww unafanya yako
 
Mie nilihamisha kimoja kimoja enzi hizo nguo unaeka kwenye mfuko wa ramboooo

Halafu nkawa kila ijumaa jioni naingia geto nakaangaaa KtMoto hahaaaaa nalaaa, jmosi nzima nakuwa nasafisha mazingira, majirani wakajua ni kibarua/mlinzi

Muda ukaenda badae nyumba ikajaa vitu na mimi nkazoeaaa....hata wale jamaa wanaokaribisha wahamiaji wapyaaa hawakuelewa somo, sikuwaonaa kamwe
Hahahaha[emoji23]
 
Back
Top Bottom