Je, wajua ni marufuku kuhamia nyumba mpya bila kibali cha Manispaa?

Je, wajua ni marufuku kuhamia nyumba mpya bila kibali cha Manispaa?

Kwenye Utawala Wangu Maneno Matamu Matamu Sitayasema Mimi, Ngojeni Atakayekuja Kuwabembeleza
By Jiwe
 
Utekelezaji wa hiyo sheria ni mgumu sana.

Wengi tunahamia saiti, yaani unaingia nyumba haijakamilika unaanza kupiga mdogomdogo ukiwa ndani huku madirisha umeziba kwa mifuko au umepiga tofali kabisa.

Hapo huto afisa wa serikali atanipa certificate ya kuhamia kwenye pagala?
 
Back
Top Bottom