maaambo umealikwa kwenye harusi wewe na mkeo saa ya kwenda ikafika mara kuchukua baiskeli ina pancha ikabidi uzibe ukamwambia mkeo atangulie mara mkeo njiani anaingia kichakani kukojoa unapofika unamwona anatoka na kulikuepo njemba moja nayo imetokea uta