Je, wajua Robo Fainali ya CAFCL timu zote ni mabingwa kasoro Simba?

Je, wajua Robo Fainali ya CAFCL timu zote ni mabingwa kasoro Simba?

Ipumzisheni basi Simba fanyeni mambo mengine duuh kila uzi Simba Simba
Moment of truth, It is a moment when one's actions or decisions have significant consequences and can determine the outcome of a particular situation. It is often seen as a test of one's integrity, courage, or commitment to their values.
 
SIMBA- huyu hajulikani ndio maana kachezea kidude, huwezi kucheza na mashindano ya mabingwa wa nchi katika hatua kubwa kama hii na ukabaki salama
......... kidude gani hicho jamani?

Mwaka jana na mwaka huu simba imeingia robo fainali kwa mbinde mbinde tu. Kwa mfano aliingia kwenye makundi bila kushinda mechi yoyote ile
 
LIGI YA MABINGWA HII kolo IMEFUATA NINI HUKU?? [emoji23][emoji23][emoji23]

Kwa utafiti wangu nimegundua kuwa ndio maana Simba ni underdog kwenye hii michuano kwasababu alipita Kwa kamseleleko Baada ya kubebwa na Yanga

1: MAMELODI SUNDOWNS- Bingwa South Africa

2: YANGA - Bingwa Tanzania

3: ASEC MIMOSAS- Bingwa Ivory Coast

4: AL AHLY- Bingwa Egypt

5: ESPERANCE TUNIS- Bingwa Tunisia

6: TP MAZEMBE - Bingwa Congo Dr

7😛ETRO DE LUANDA- Bingwa Angola

SIMBA- huyu hajulikani ndio maana kachezea kidude, huwezi kucheza na mashindano ya mabingwa wa nchi katika hatua kubwa kama hii na ukabaki salama
Kwaio Tanzania pekee ndio tumetoa timu mbili hakika hili ni jambo la kujivunua!!
 
LIGI YA MABINGWA HII kolo IMEFUATA NINI HUKU?? [emoji23][emoji23][emoji23]

Kwa utafiti wangu nimegundua kuwa ndio maana Simba ni underdog kwenye hii michuano kwasababu alipita Kwa kamseleleko Baada ya kubebwa na Yanga

1: MAMELODI SUNDOWNS- Bingwa South Africa

2: YANGA - Bingwa Tanzania

3: ASEC MIMOSAS- Bingwa Ivory Coast

4: AL AHLY- Bingwa Egypt

5: ESPERANCE TUNIS- Bingwa Tunisia

6: TP MAZEMBE - Bingwa Congo Dr

7😛ETRO DE LUANDA- Bingwa Angola

SIMBA- huyu hajulikani ndio maana kachezea kidude, huwezi kucheza na mashindano ya mabingwa wa nchi katika hatua kubwa kama hii na ukabaki salama
Hii tafiti Ni nzuri sna ambapo efm hawawezi kuliona Hili

Kina dada kalpana watakujiaa kwa matusi snaa
 
Back
Top Bottom