Je, wajua Robo Fainali ya CAFCL timu zote ni mabingwa kasoro Simba?

Ipumzisheni basi Simba fanyeni mambo mengine duuh kila uzi Simba Simba
Moment of truth, It is a moment when one's actions or decisions have significant consequences and can determine the outcome of a particular situation. It is often seen as a test of one's integrity, courage, or commitment to their values.
 
SIMBA- huyu hajulikani ndio maana kachezea kidude, huwezi kucheza na mashindano ya mabingwa wa nchi katika hatua kubwa kama hii na ukabaki salama
......... kidude gani hicho jamani?

Mwaka jana na mwaka huu simba imeingia robo fainali kwa mbinde mbinde tu. Kwa mfano aliingia kwenye makundi bila kushinda mechi yoyote ile
 
Kwaio Tanzania pekee ndio tumetoa timu mbili hakika hili ni jambo la kujivunua!!
 
Hii tafiti Ni nzuri sna ambapo efm hawawezi kuliona Hili

Kina dada kalpana watakujiaa kwa matusi snaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…