Je, wajua Robo Fainali ya CAFCL timu zote ni mabingwa kasoro Simba?

Lakini pia kati ya timu zilizoingia robo fainali ni timu moja tu ya Tz ambayo haimo hata 10 bora ktk rank za CAF
Yaah lkn imemdindia timu Bora mamelodi.....kuliko makolo waliokula kichapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…