Mnyenz

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2014
Posts
2,933
Reaction score
8,112
Katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, sisi kama wananchi tunayo mengi ya kujifunza.

Tunayo haja ya kuchuja sera zao kwa upana kwa maana wao hawa wanasiasa ndio huamua bei za vitu tunavyohitaji katika maisha ya kila siku.

Leo nakuchapishia picha ya vyombo vya moto ambavyo wanasiasa wamepanga bei kwa namna moja ama nyingine. Tazama picha.

mods: tafadhari acheni wafu wazike wafu wenzao, iacheni hapa hapa.
 
Tazama wana siasa wanavyotupangia bei
 
..
 

Attachments

  • Screenshot_20250226-211427_WhatsAppBusiness.jpg
    239.4 KB · Views: 2
WhatsApp 0712 148001
 
WhatsApp 0712 148001
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…