Je wajua! Simba ina goli moja tu nalo ni la penalty

Hizi ni hujuma Mimi kama mpenda soka Huwa nachukizwa pale timu inakuwa na goli za penalty ( coz inonyesha % nyingi za mbeleko)

Hatua ya makundi kolo kafunga goli Moja tu nalo ni la penalty View attachment 2838903
we jamaa sijui nini huwa kinakuwasha kila muda simba .
alafu unajiona mchambuzi wa soka
kwahiyo?
yanga wa mwisho kwenye group lake na simba hivyohivyo
ongea kingine tena
 
we jamaa sijui nini huwa kinakuwasha kila muda simba .
alafu unajiona mchambuzi wa soka
kwahiyo?
yanga wa mwisho kwenye group lake na simba hivyohivyo
ongea kingine tena
Mkuu Kwan Simba Wana goal ngapi pale mjini group stage .....ukiachana na penalty goal
 
kwa siku 1 unafungua hadi thread 5 zote kuhusu kolo
kwanini usipambane huko utopoloni kumjadili gamondi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…